Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Sio kumchukia basi tu sijui kinatokea nini. Ila hizo pata potea sio cha kuchezewa kwenye ndoa. Kwamba unaweza mpenda MTU kwenye ndoa halafu ufike ukute kila ukijaribu moyo unakataa. Utatamani ufukiws mzima
Hapo unakuwa kuna sehemu umekosea !
 
Back
Top Bottom