Nitaka nimpe piriton mbili alale usingizi..Sakayo anakuona lakini.


Tuseme...kuwa mwanamke kuna ambatana na kuolewa..Hapana sio lazima ila ni jambo zuri hasa akipatikana mnaependana nae.
I don’t get itKalio
Vyeti
Kazi
Kingine?
Ndo hivyo kwamba haiwezekani wanawake wote wakaolewa siku moja. Ni heshima ila ije kwa wakati muafaka na moyo ukiridhia sio pressure za umriTuseme...kuwa mwanamke kuna ambatana na kuolewa..
Pia kuolewa kuna leta heshima fulani mwanamke..! Ni kheri pia
Ila ndio hivyo tena..
Kwamba Sina Flat ScreenI don’t get it
njoo udange na kwenye pm yanguBby nshakutumia account pm
Hahahahaaa. Ngoja nimalizane na huyunjoo udange na kwenye pm yangu
Hongera sana !Kwamba Sina Flat Screen
Nimebahatika kumaliza degree
Nina ajira.
Nimekujibia na mengine usiulize
Shukrani.Hongera sana !
Kuna wengine wanalipwa kwa yale waliyo yapanda,unakuta binti ana machejo kinoma noma,watu wa maana wana mfata wamuoe ana watolea nje.Ndo hivyo kwamba haiwezekani wanawake wote wakaolewa siku moja. Ni heshima ila ije kwa wakati muafaka na moyo ukiridhia sio pressure za umri
So you’re the real deal here! HongeraKwamba Sina Flat Screen
Nimebahatika kumaliza degree
Nina ajira.
Nimekujibia na mengine usiulize
Sio Malipo useme hakumpenda. Kutokua na ndoa haimaanishi kupokea kila offer inayokuja mbele yako. Ndoa sio jambo LA kumfurahisha MTU ni maisha ya MTU.Kuna wengine wanalipwa kwa yale waliyo yapanda,unakuta binti ana machejo kinoma noma,watu wa maana wana mfata wamuoe ana watolea nje.
Sasa kinachowakuta ........ Nakuja kukwambia.
Ila wewe unaonekana pini sana basi tu.....!Shukrani.
SijuiSo you’re the real deal here! Hongera
KawaidaIla wewe unaonekana pini sana basi tu.....!
Hilo nalijua sana,ila maajabu ya hisia wewe mwenyewe unayajua,unaweza kumchukia mtu leo kesho ukaja kumpenda kufa. Tatizo watoto wa kike mnadanganyika sana.....!Sio Malipo useme hakumpenda. Kutokua na ndoa haimaanishi kupokea kila offer inayokuja mbele yako. Ndoa sio jambo LA kumfurahisha MTU ni maisha ya MTU.
Nakuona tu,huyo kwenye avatar si ndio wewe au ?Kawaida
Sio kumchukia basi tu sijui kinatokea nini. Ila hizo pata potea sio cha kuchezewa kwenye ndoa. Kwamba unaweza mpenda MTU kwenye ndoa halafu ufike ukute kila ukijaribu moyo unakataa. Utatamani ufukiws mzimaHilo nalijua sana,ila maajabu ya hisia wewe mwenyewe unayajua,unaweza kumchukia mtu leo kesho ukaja kumpenda kufa. Tatizo watoto wa kike mnadanganyika sana.....!
Narudi.....!