Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

mama akiwa na umri wa miaka 27,alikuwa ameshafunga kizazi akiwa na watoto watano,wenye birth interval ya miaka 2,kama kuna mwanamke ana miaka 26 na kuendelea na bado yupo yupo nampa pole yake.
 
MANENO yako yana buibui walahi Maana unatuletea zilipendwa!
Uchafu mtupu umeandika walahi!
Kwani kuolewa ni lazima, pathetic DNA walahi
Nakuona Chakubanga wa fisi emu
 
Bongo superstar, vimwana wamefanya upepo wa mbombo ngaaf mwiingi...
 
Rafiki zangu watatu wameolewa siku za karibuni na wana makalio Kama yote. Sio kila mwanamke anaabudu tako kisa tu analo. MTU kazaliwa hivyo. Na nyie wanaume mmeanza kuwaona wanawake wenye matako Kama threat kwenu. Kitu kidogo tu mnakimbilia sababu Ana tako. Hukumuni wasioolewa kwa mengine Kama tabia ambayo inachange ila sio maumbilie yao waliyozaliwa nayo.
Inaonyesha una tako nasikia ww ni single mom, ucjal nataka nije nilipapase hilo tako kama utajali tuzae mtoto mi na ww
 
Wana masikio ya kusikia na si kuelewa walicho sikia wana macho ya kutazama na si kuelewa wanacho kiangalia so waache tu siku zoote huwa nasema wasichana hawajui wanacho kitaka
 
Kwahiyo wenye makalio makubwa wayapeleke wapi mkuu?
Sawa tumekisikia
Mpenzi hilo lako la asili halina shida. Mdau anaongelea wale wenye ya kichina au wale wenye ya asili ambao kisa kabarikiwa kichuguu kidogo basi anakitumia hicho kama mtaji na hajishughulishi na mambo mengine ya maendeleo
 
Mpenzi hilo lako la asili halina shida. Mdau anaongelea wale wenye ya kichina au wale wenye ya asili ambao kisa kabarikiwa kichuguu kidogo basi anakitumia hicho kama mtaji na hajishughulishi na mambo mengine ya maendeleo
Sawa love....
 
Back
Top Bottom