Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Nishamuwah mkuu mwache huyo
Mke wangu huyo mzee baba..! Nilimuacha muda kidogo aliachia chura ikipita size nikaogopa kuugua ugonjwa wa moyo! Sasa ameipunguza nimerudi tena.
 
Mimi nina allege na chura kubwa kupitiliza nilikuacha sababu sikutaka ugonjwa wa moyo..! Mama T naye alipewa likizo ujue.
Sawa nasubiri ila ukichelewa ntapokea ya mwenzio
 
Mke wangu huyo mzee baba..! Nilimuacha muda kidogo aliachia chura ikipita size nikaogopa kuugua ugonjwa wa moyo! Sasa ameipunguza nimerudi tena.
Duuuh hukufanya vzr mzee baba sasa mbona ana mimba yangu mkuu
 
Mke wangu huyo mzee baba..! Nilimuacha muda kidogo aliachia chura ikipita size nikaogopa kuugua ugonjwa wa moyo! Sasa ameipunguza nimerudi tena.
Nimeenda itoa kabisa tuishi kwa amani. Maana chura yangu ilikua inakunyima raha mpaka unanitangazia huku mie mdangaji wakati hata matumizi hutoagi ila ukija nyumbani unakuta msosi
Mkuu naona haupo seriously mi nakuoa kabsaaa sasa hiyo nauli nitumie wap??
Ntumie bank New Bae
Mimi nina allege na chura kubwa kupitiliza nilikuacha sababu sikutaka ugonjwa wa moyo..! Mama T naye alipewa likizo ujue.
Jamani mama T. Sasa mi nishamzoea mke mkubwa ulikua ukiwa zamu kwake napata kanafasi ka kuchepuka
 
Hahaahahaa eti "anaweza kukusonya kwa kosa la kumwangalia tuu"
 
Nimeenda itoa kabisa tuishi kwa amani. Maana chura yangu ilikua inakunyima raha mpaka unanitangazia huku mie mdangaji wakati hata matumizi hutoagi ila ukija nyumbani unakuta msosiNtumie bank New BaeJamani mama T. Sasa mi nishamzoea mke mkubwa ulikua ukiwa zamu kwake napata kanafasi ka kuchepuka
Duuh! Nisamehe tu, mke wangu wivu na hiyo chura ilikuwa inanyima umiliki wangu kwako..!

Sasa amani italejea, ngoja mama T apumzike ulivyoondoka alitumika mno..!
 
Nimeenda itoa kabisa tuishi kwa amani. Maana chura yangu ilikua inakunyima raha mpaka unanitangazia huku mie mdangaji wakati hata matumizi hutoagi ila ukija nyumbani unakuta msosiNtumie bank New BaeJamani mama T. Sasa mi nishamzoea mke mkubwa ulikua ukiwa zamu kwake napata kanafasi ka kuchepuka
Nipe account number, halafu huyo jamaa achana nae kwanza anaishi nyumba ya kupanga huko arusha bado anatafuta ajira namfahamu vzr
 
Back
Top Bottom