Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Rafiki zangu watatu wameolewa siku za karibuni na wana makalio Kama yote. Sio kila mwanamke anaabudu tako kisa tu analo. MTU kazaliwa hivyo. Na nyie wanaume mmeanza kuwaona wanawake wenye matako Kama threat kwenu. Kitu kidogo tu mnakimbilia sababu Ana tako. Hukumuni wasioolewa kwa mengine Kama tabia ambayo inachange ila sio maumbilie yao waliyozaliwa nayo.
naona hawakujui,
 
Ni kweli mkuu lkn kikubwa ni amani ya moyo ukishapata amani ya moyo ata izo ndoa hazina maana unataka kunambia kila mwanamke kaolewa ....mkuu ao wenyewe waliomo umo ndoani wanaishi basi tu kulea watoto kina cho mata amani ya moyo...
 
Umesuka vizuri hata mwenye upeo mdogo wa kuelewa ataelewa. Wakiendelea na tabia hiyo single mothers watakuwa wengi na ni kuwatesa watoto kwa kukosa upendo wa baba .
 
Ni kweli mkuu lkn kikubwa ni amani ya moyo ukishapata amani ya moyo ata izo ndoa hazina maana unataka kunambia kila mwanamke kaolewa ....mkuu ao wenyewe waliomo umo ndoani wanaishi basi tu kulea watoto kina cho mata amani ya moyo...
Ukipata amani ya moyo hautakuwa na mpango wa kuolewa?
 
una shida wewe! mi naona kaz sana kushughulika na visivyonihusu maana nayo ni mbomboo
 
Back
Top Bottom