I'm too old to be dumped

Alvin A.

JF-Expert Member
Oct 14, 2016
2,868
3,624
HABARI,

Nipo kwenye daladala natoka Kibamba naelekea Mawasiliano

Pembeni yangu kuna dada anajitahidi kuongea kwa sauti ya chini na utulivu, ilhali kwa muonekano wake hayupo katika utulivu: " Samwel am too old to be dumped, kwanini unanifanyia hivi? "

Kimoyo moyo nikajisemea, jamaa ashamtema dada wa watu.

Hapo hapo nikajikuta namkumbuka yule dada wa saluni ya kike pale Sinza , ambaye alipigiwa simu na bwana wake hakupokea, alafu akawaambia wenzake
"Mpaka apige mara 5 ndio napokea, na nikipokea najua lazima aombe msamaha".

Kwenye mapenzi ukishikwa, kazi unayo.

Ila kwa mtazamo wangu, dada zangu they have a lot to loose when it comes to love than sisi wanaume.

Huwa nawaangalia tu girls in their 20's wanavyovimba mitaani na kwenye daladala.

Anaweza akakusonya kwa kosa la kumwangalia tu.

Nowadays the big the ass, the dumb they become. They think having that stuff kills off everything (Stupid),

Kila picha anayopost, analenga chini ya kiuno. Like na comments za kutosha within few minutes.

Ujue girls kuna kitu hadi leo hamjui kutofautisha, either kwa makusudi or kwa kutotilia umakini. " WANAWAKE WANAOTREND KWENYE HARUSI THEY ARE QUITE DIFFERENT FROM THOSE WHO ARE TRENDING IN SOCIAL MEDIAS"
Unajua kwanini??

Ushawahi kuona vogue au any luxury cars shambani? Hayo magari ni kwa ajili ya kujistarehesha tu, ukifika muda wa kazi, muda wa kuingia shambani linahitajika trekta.

Hicho ndio kipindi ambacho statements kama za yule dada wa kwenye daladala ya Kibamba - Mawasiliano zinapokuja : "Too old to be dumped"

Wanawake wanaotrend kwenye harusi ni wa kawaida tu, sio wa kujichubua, no big ass. Normal shape but attractive.

So dada angu rukaruka ila jua umri unasonga, usipojitambua mapema utaishia kupokea kadi za michango tu au kuombwa uwe maid kwenye harusi ya best yako.

Au la, mtaenda kujazana kwenye miskiti na kanisa ili wawaombee uku mkidanganyishiya mmerogwa, ndo mjipange
FB_IMG_1570423778073.jpeg
FB_IMG_1570334893136.jpeg
 
Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.

Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....

Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.

Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....

Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
 
Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshoma zote za kike.

Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....

Laah wanawake wazuri na mabo wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake bayana wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.

Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....

Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
Umenena vyema mtu mzima
 
Sisi si ni wazazi na kama bado hujawa mzazi utakuwa mzazi.
Hakuna mzazi anapenda kuona mwanae anaharibikiwa, anachezewa, anazalishwa na kuachwa!

Tufikirie maisha ya watoto wetu huko baadae, Je tunapenda yaje kuwa kama ambavyo tunawafanyia watoto wa wenzetu?! Jibu unalo..

Tusali sana, tujiombee kwenye safari hii ndefu ya maisha. Lakini kubwa sana tuwaombee watoto wetu, binti wanaokuwa na vijana pia.
 
Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.

Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....

Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.

Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....

Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
Kasie nimekupenda bureee maana madini uliyoyatema ni ya hatari sana na wenye macho acha waone na wajifunze kitu

asante sana madam Kasie
 
Sisi si ni wazazi na kama bado hujawa mzazi utakuwa mzazi.
Hakuna mzazi anapenda kuona mwanae anaharibikiwa, anachezewa, anazalishwa na kuachwa!

Tufikirie maisha ya watoto wetu huko baadae, Je tunapenda yaje kuwa kama ambavyo tunawafanyia watoto wa wenzetu?! Jibu unalo..

Tusali sana, tujiombee kwenye safari hii ndefu ya maisha. Lakini kubwa sana tuwaombee watoto wetu, binti wanaokuwa na vijana pia.
Amein Mzaz umeongea kwa busara na hekima sana.... Vip nafasi ipo jaman niwe nazipta busara za namna hii
 
Sisi si ni wazazi na kama bado hujawa mzazi utakuwa mzazi.
Hakuna mzazi anapenda kuona mwanae anaharibikiwa, anachezewa, anazalishwa na kuachwa!

Tufikirie maisha ya watoto wetu huko baadae, Je tunapenda yaje kuwa kama ambavyo tunawafanyia watoto wa wenzetu?! Jibu unalo..

Tusali sana, tujiombee kwenye safari hii ndefu ya maisha. Lakini kubwa sana tuwaombee watoto wetu, binti wanaokuwa na vijana pia.
Amen.
 
Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.

Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....

Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.

Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....

Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
Umenena vizuri mkuu ila kwangu mimi yalionitokea mhhh sijui.... apo nyuma niliwai kupata mwanamke mzuri kwa mtazamo wangu alibarikiwa kila kitu ambacho kwangu niliona safi hadi hekima ,akili,uzuri wakilakitu aiseee ailikuwa toto la kizigua sema mambo yali happen so fast sielewi tabia alibadilikia wapi ila naona aliftwa sana mwisho wa siku tulikuwa tukiargue kidogo anaanza nitishia kwamba nadhani kwamba hawezi pata mwanaume mwingine au akiamua hivyo atakosa ? Kiufupi hayo maneno ndo yalianza nikera ukiachana na vitu vingine vidogo ambavyo mwisho wa siku tuliachana nadhani viko vitu vingi vinavyowaaribu hao wazuri kuliko vinavyowajenga aiseee
 
Hawa wadada wazuri wanamaringo sana wengi wao
 
Ooohh pole sana,

Nakuelewa na najua wengi wakija hapa watasema unaona, hao wanawake wazuri sio wa kuweka ndani maana kila mtu anamtizama ukitoka nae au ukisafiri huna imani hata na ndugu zako....
Kiukweli wanawake wote wanatongozwa na wanaowatongoza ni wanaume, ila sasa nguvu ya kumtongoza mwanamke inatofautiana kulingana na muonekano wa mwanamke mwenyewe jinsi alivyo.

Akiwa kigagula kama mie wala hawatumii nguvu nyingi, chipsi yai na mziki tuu unakula mzigo ila ukikuta binti bado chuchu saa sita rangi ya mtume wako radhi hata kwenda kukopa ili wampate aidha ae gelofrendi wa mtu, mke au hata single tuu.

Ikija suala la kupania kumpata mwanamke wanaume mnajua wenyewe nguvu mnayotumia na hapo wengine wako radhi hata kudanganya na wakishampata tuu wachache sana wanaendeleza mahusiano wengi wanachapa ilale.

Na asili ya wanawake hata ukikuta mgumu ila akibembelezwa sanaaa au akisumbuliwa sanaa au akishawishiwa sanaa ana asilimia zake za kuingia laini, hii ni kutokana na mtu na mtu. Kuna mabandidu kama nilivyokuwa kigoli hehehheee nilikuwa na maringoo yaani mtu anatongoza hadi anachoka wala simsikilizi na sikuwa napokea zawadi ya aina yeyote ilee.

Wawanake wachache sana wanaoweza kupokea zawadi za mwanaume na wasiingie laini, ukikuta mwanamke ambae hashawishiki kirahisi ni yule ambae kwanza haombi ombi, hata ukimpa hapokei kirahisi na akipokea atahakikisha na wewe amekupa kitu like na yeye amekuhonga so huna cha kumdai au hana kitu cha kulipa fadhila.

This issue is too its too wide to discuss.
 
" Samwel am too old to be dumped, kwanini unanifanyia hivi? "
Dooh!!!nimejikuta naona huruma sanaa.Hii nistatement ya mtu anae kuhitaji sana na bila shaka hata kama alikosea, kwa statement anaonyesha kamaliza manenonyoote ya kukuomba msamaha trna kwa kumaanisha.Please Samwel huko uliko think twise, never let her go cz.
She will never forgive u ever kama ni ww ndio umelizua ...
 
Back
Top Bottom