Weka maelezo yanayojitosheleza kwenye post kuu.Sasa unaficha katikati ya pages ili iweje??kwanini usisome kwa makini post kisha ndo uulize maswali...???? yeye alikua serious anataka kufanya kazi coz si mtu wa kubweteka na alikua na mtu aliyemwani kwa kuwa ni classmate wake....sasa hapo ugumu uko wapi kuelewa...???
Wakuu ngoja niende shortcut. Ni hivi nina dada yangu amemaliza form six ni lazima ni kiri ni mrembo na mpole sana, sasa juzi kuna mtu alinitonya kuwa kuna majamaa wanamfatilia dadangu yani wanamtaka tena kinguvu mi nikapuuzia kwa kuwa msimamo wa dadangu mi naujua sasa leo majira ya saa kumi huyo mtu akanambia amewaona hao jamaa wanaomsumbua dadangu maeneo ya mtaani.
Hivyo amepata wasiwasi kwani amemwona dada nae kama anatoka (ni hivi hyu mtonyaji ni rafiki yangu mkubwa na pia huwa tunaitana shemeji kwa kuwa ni ukweli kwamba anampenda sana dadangu)
Sasa kwa kuwa mi nilikua mbali kiasi nikamwambia amfatilie aone dada anakwenda wapi ndipo akamwona dada kapanda boda boda naye akachukua boda mpaka sehemu ambapo dada alishuka na kuingia katika gari ndogo na kutokomea jamaa aliendelea kufatilia ambapo gari iliingia katika nyumba moja yenye geti na hapo jamaa ndo akapata wasi zaidi na kuamua kunipa taarifa nami nikaona nilitilie mkazo japo nilihisi kama naingilia privacy ya dadangu.
nami nilipofika ktk hilo eneo nilipata wasi kidogo mana japo ilionekana ni nyumba lakini haikuonesha dalili kama waliishi watu nikapiga simu kwa jamaa zangu kama watatu ivi ili kujihami just in case walipofika tukaruka ukuta na kuingia ndani ambapo kwa nyuma tulisikia kelele kwa mbali za kulia na malalaniko ya hapa na pale.
Tuluposikiliza kwa makini tukagundua haya majamaa yalimfosi dada mapenzi tena kwa zamu na ndipo tukashauriana kuvamia kwani hata milango hawakulock kwa kutodhania kama wangefatiliwa ama tu kwa ajili ya hiyo nyumba na mazingira.
Tulipoingia ndani tulimkuta dada analia na huku jamaa wawili mmoja akiwa anavuta sigara wote wakiwa na boxer na mwingine alikua bafuni anakoga tukawaweka chini ya ulinzi na kupigo hevi tu yaani hapa navoandika hii post nina hasira mno na kilichopo ni kwamba tumetumia gari yao na tumeondoka nao tupo sehemu nyeti mno ni sisi na wao.
dada kanieleza yote japo ni ya aibu na yanatia kinyaa na hasira lakini nikwamba kati ya hawa mbwa mmoja wao ni mwarabu mwenye nyodo na ndo kwao wenye hii site pamoja na hilo gari. Mwingine wamemaliza wote shule juzi tuu na ndo aliyekuwa akifanya mawasiliano na dada na alimdanganya anampeleka kuna bosi amemtafutia kazi wakafanye part time wakati wanasubiri matokeo.
Wakuu maelezo ni mengi sana na mpaka sasa tumeshafanya mengi tuu ninachoomba kwenu ni ushauri hawa jamaa tuwafanye nini au tuchukue uwamuzi gani mana uchungu niliyonao hata polisi na mahakama siwaamini kama watafanya kulingana na moyo wangu unavyotaka.....na muda unakwenda wakuu.
muwaingilie muwarecord ila mfiche sura au muwaambie waingiliane muwarecord. ..af muuze. .mahakama kibongo bongo kesi itakuwa ntolee hiyo tena
hadi mmechoka mnatafuta masela wengine waendeleze mkong'otoWakuu ngoja niende shortcut. Ni hivi nina dada yangu amemaliza form six ni lazima ni kiri ni mrembo na mpole sana, sasa juzi kuna mtu alinitonya kuwa kuna majamaa wanamfatilia dadangu yani wanamtaka tena kinguvu mi nikapuuzia kwa kuwa msimamo wa dadangu mi naujua sasa leo majira ya saa kumi huyo mtu akanambia amewaona hao jamaa wanaomsumbua dadangu maeneo ya mtaani.
Hivyo amepata wasiwasi kwani amemwona dada nae kama anatoka (ni hivi hyu mtonyaji ni rafiki yangu mkubwa na pia huwa tunaitana shemeji kwa kuwa ni ukweli kwamba anampenda sana dadangu)
Sasa kwa kuwa mi nilikua mbali kiasi nikamwambia amfatilie aone dada anakwenda wapi ndipo akamwona dada kapanda boda boda naye akachukua boda mpaka sehemu ambapo dada alishuka na kuingia katika gari ndogo na kutokomea jamaa aliendelea kufatilia ambapo gari iliingia katika nyumba moja yenye geti na hapo jamaa ndo akapata wasi zaidi na kuamua kunipa taarifa nami nikaona nilitilie mkazo japo nilihisi kama naingilia privacy ya dadangu.
nami nilipofika ktk hilo eneo nilipata wasi kidogo mana japo ilionekana ni nyumba lakini haikuonesha dalili kama waliishi watu nikapiga simu kwa jamaa zangu kama watatu ivi ili kujihami just in case walipofika tukaruka ukuta na kuingia ndani ambapo kwa nyuma tulisikia kelele kwa mbali za kulia na malalaniko ya hapa na pale.
Tuluposikiliza kwa makini tukagundua haya majamaa yalimfosi dada mapenzi tena kwa zamu na ndipo tukashauriana kuvamia kwani hata milango hawakulock kwa kutodhania kama wangefatiliwa ama tu kwa ajili ya hiyo nyumba na mazingira.
Tulipoingia ndani tulimkuta dada analia na huku jamaa wawili mmoja akiwa anavuta sigara wote wakiwa na boxer na mwingine alikua bafuni anakoga tukawaweka chini ya ulinzi na kupigo hevi tu yaani hapa navoandika hii post nina hasira mno na kilichopo ni kwamba tumetumia gari yao na tumeondoka nao tupo sehemu nyeti mno ni sisi na wao.
dada kanieleza yote japo ni ya aibu na yanatia kinyaa na hasira lakini nikwamba kati ya hawa mbwa mmoja wao ni mwarabu mwenye nyodo na ndo kwao wenye hii site pamoja na hilo gari. Mwingine wamemaliza wote shule juzi tuu na ndo aliyekuwa akifanya mawasiliano na dada na alimdanganya anampeleka kuna bosi amemtafutia kazi wakafanye part time wakati wanasubiri matokeo.
Wakuu maelezo ni mengi sana na mpaka sasa tumeshafanya mengi tuu ninachoomba kwenu ni ushauri hawa jamaa tuwafanye nini au tuchukue uwamuzi gani mana uchungu niliyonao hata polisi na mahakama siwaamini kama watafanya kulingana na moyo wangu unavyotaka.....na muda unakwenda wakuu.
tumepiga sana fimbo yaani moyo wangu bado unataka kitu jamani.....aisee hasa nikimwangalia dada anavyolia kwa uchungu....

😀 😀
Kyoma,
All I can say is a million kudos to you. I wish Watanzania wengi, kote bara na visiwani wangekuwa na uelewa wako.
Usimtetee dada yako. Hao jamaa wana makosa kama wamebaka lakini hebu we mwenyewe angalia tukio zima. Yaani mtoto wa kike aliyefundwa akafundika aanze tu kuchukua bodaboda, anashuka, kisha anapanda gari nyingine, halafu anakubali kuingia kwenye nyumba ambayo si kwao wala kwa ndugu yake yeyote na zaidi wala hatoi taarifa kuhusu nyendo zake. Hivi huyu kafundwa kweli??!!! Kaka rudi ubaoni mumfunde huyo binti vizuri na kama kuna wadogo zake mpate funzo la kutosha hapo.sawa ila siku yakimfika dada yako ndo utajua kuwa haina uhusiano na ametulia au hajatulia....???? we twende tuu
Kesi iko wazi na ushahidi umepatikana. Daktari amethibitisha ktk ripoti yake. Sasa rushwa ya nini?