Dada yangu kapata matatizo, naomba msaada

Dada yangu kapata matatizo, naomba msaada

asanteni wote kwa ushauri wakuu....ni hivi hatua tulizochukua mpaka sasa ni kwamba tulitoa taarifa polisi kuhusu tukio la ubakaji na tulikuwa na dada usiku uleule bila kupeleka wabakaji kwani tuliwaambia wapo chini ya ulinzi mkali....
pili tulipatiwa form na kumpeleka dada hospital akapimwa na kugundulika kama ni kweli amebakwa na hivi ninavyoandika tupo hospital kwani bado anaugulia maumivu ni makali mno na pia anategemea kupewa dawa ya kuzuia ukimwi....

baadae baada ya kujiridhisha na hatua zitakazochukuliwa tuliwafikisha watuhumiwa polisi na wanaendelea na mahojiano na nishukuru tulipata msaada wa wamama fulani wanasheria wakubwa tu taratibu zote naona zinakwenda kama nilivyotaka na nitazidi kuwapa ripoti kama ilivyo.....
 
tumepiga sana fimbo yaani moyo wangu bado unataka kitu jamani.....aisee hasa nikimwangalia dada anavyolia kwa uchungu....
..
..Acha kutibu dalili za ugonjwa ww tibu ugonjwa..DADA yako MWENYEWE KACHUKUA BODABODA...kajipeleka mwenyewe...kwa hiari..SASA WW dili na dada yako ni ma.la.ya huy0....
 
Pole sana mkuu,the ony solution is to file a petition before the court of law,iwe criminal case under rape,kidnaping then tort of false imprisonment in case of compensation
 
kaka ushaur wangu ni mmoja tu,hao jamaa wakitoka hapo either wanaweza enda polisi au kufanya kitu kingine,cha maana wacameroon huku mkiwarecord then mnawaacha na kamwe hawawez kwenda polisi mana wakienda polisi wanajua kua na nyie mtarelease mambo ila kaka kweli unampenda mdogo wako na huyo jamaa mnaeitana nae shemeji mpe big up sana
 
Msijichumie dhambi hao dawa yao ni kuwapelek polisi tu, shahidi dada yenu yupo!!Kesi ya ubakaji haina mjadala, 30 years in prison baba!!
 
Kifungo cha maisha hicho, hakikisha charges zina kidnapping and rapping aiseee ili iwe fundisho kwa hao jamaa. Uombe kwa kuwa hawa jamaa kuna wenye asili ya utaifa mwingine unaomba wasipewe bail ili wasitoroke. Kula na polisi waandike vizuri charges ziwabane kabisa. Pole sana.
 
..
..Acha kutibu dalili za ugonjwa ww tibu ugonjwa..DADA yako MWENYEWE KACHUKUA BODABODA...kajipeleka mwenyewe...kwa hiari..SASA WW dili na dada yako ni ma.la.ya huy0....

mkuu ulisoma maelezo yangu kwa makini kweli...??? napata shida na uelewa upeo wako unaweza fikiri ivo tuu....kweli the (greater horizon) ni kazi kupatikana
 
Mh!! Pole kwa huyo bint jamani.
Ni vizuri kuwa taratibu za kisheria zimefuatwa na dada yako amepata msaada wa kitabibu.
 
Chukua picha za kutosha... zitakusaidia kupambana na mwarabu huko mbele ya safari...
 
Kifungo cha maisha hicho, hakikisha charges zina kidnapping and rapping aiseee ili iwe fundisho kwa hao jamaa. Uombe kwa kuwa hawa jamaa kuna wenye asili ya utaifa mwingine unaomba wasipewe bail ili wasitoroke. Kula na polisi waandike vizuri charges ziwabane kabisa. Pole sana.

Kesi iko wazi na ushahidi umepatikana. Daktari amethibitisha ktk ripoti yake. Sasa rushwa ya nini?
 
Huyo dada yako hajatulia. We mtoto wa kike aliyelelewa akaleleka atajipelekaje tu sehemu eti akatafutiwe kazi. Rudini ubaoni muanze malezi upya.
 
Duh! Hii ni hatari

wapeni kichapo cha nguvu halafu mkawatelekeze sehemu, halafu muwahi polisi kuchua RB
 
Wakuu ngoja niende shortcut. Ni hivi nina dada yangu amemaliza form six ni lazima ni kiri ni mrembo na mpole sana, sasa juzi kuna mtu alinitonya kuwa kuna majamaa wanamfatilia dadangu yani wanamtaka tena kinguvu mi nikapuuzia kwa kuwa msimamo wa dadangu mi naujua sasa leo majira ya saa kumi huyo mtu akanambia amewaona hao jamaa wanaomsumbua dadangu maeneo ya mtaani.

Hivyo amepata wasiwasi kwani amemwona dada nae kama anatoka (ni hivi hyu mtonyaji ni rafiki yangu mkubwa na pia huwa tunaitana shemeji kwa kuwa ni ukweli kwamba anampenda sana dadangu)

Sasa kwa kuwa mi nilikua mbali kiasi nikamwambia amfatilie aone dada anakwenda wapi ndipo akamwona dada kapanda boda boda naye akachukua boda mpaka sehemu ambapo dada alishuka na kuingia katika gari ndogo na kutokomea jamaa aliendelea kufatilia ambapo gari iliingia katika nyumba moja yenye geti na hapo jamaa ndo akapata wasi zaidi na kuamua kunipa taarifa nami nikaona nilitilie mkazo japo nilihisi kama naingilia privacy ya dadangu.

nami nilipofika ktk hilo eneo nilipata wasi kidogo mana japo ilionekana ni nyumba lakini haikuonesha dalili kama waliishi watu nikapiga simu kwa jamaa zangu kama watatu ivi ili kujihami just in case walipofika tukaruka ukuta na kuingia ndani ambapo kwa nyuma tulisikia kelele kwa mbali za kulia na malalaniko ya hapa na pale.

Tuluposikiliza kwa makini tukagundua haya majamaa yalimfosi dada mapenzi tena kwa zamu na ndipo tukashauriana kuvamia kwani hata milango hawakulock kwa kutodhania kama wangefatiliwa ama tu kwa ajili ya hiyo nyumba na mazingira.

Tulipoingia ndani tulimkuta dada analia na huku jamaa wawili mmoja akiwa anavuta sigara wote wakiwa na boxer na mwingine alikua bafuni anakoga tukawaweka chini ya ulinzi na kupigo hevi tu yaani hapa navoandika hii post nina hasira mno na kilichopo ni kwamba tumetumia gari yao na tumeondoka nao tupo sehemu nyeti mno ni sisi na wao.

dada kanieleza yote japo ni ya aibu na yanatia kinyaa na hasira lakini nikwamba kati ya hawa mbwa mmoja wao ni mwarabu mwenye nyodo na ndo kwao wenye hii site pamoja na hilo gari. Mwingine wamemaliza wote shule juzi tuu na ndo aliyekuwa akifanya mawasiliano na dada na alimdanganya anampeleka kuna bosi amemtafutia kazi wakafanye part time wakati wanasubiri matokeo.

Wakuu maelezo ni mengi sana na mpaka sasa tumeshafanya mengi tuu ninachoomba kwenu ni ushauri hawa jamaa tuwafanye nini au tuchukue uwamuzi gani mana uchungu niliyonao hata polisi na mahakama siwaamini kama watafanya kulingana na moyo wangu unavyotaka.....na muda unakwenda wakuu.
Mie hata sikuelewi.Huyu dada yako si alienda mwenyewe kwenye hiyo nyumba au alikokotwa?Aliwaamini vipi hao watu mpka akawafuata.Au hiyo nyumba aliyoingia ni ya nani?
 
Waombe milioni 20.5 mkuu kama hawana ng'oa kucha,nywele,p*mbu,meno nk
 
Mie hata sikuelewi.Huyu dada yako si alienda mwenyewe kwenye hiyo nyumba au alikokotwa?Aliwaamini vipi hao watu mpka akawafuata.Au hiyo nyumba aliyoingia ni ya nani?

kwanini usisome kwa makini post kisha ndo uulize maswali...???? yeye alikua serious anataka kufanya kazi coz si mtu wa kubweteka na alikua na mtu aliyemwani kwa kuwa ni classmate wake....sasa hapo ugumu uko wapi kuelewa...???
 
Huyo dada yako hajatulia. We mtoto wa kike aliyelelewa akaleleka atajipelekaje tu sehemu eti akatafutiwe kazi. Rudini ubaoni muanze malezi upya.

sawa ila siku yakimfika dada yako ndo utajua kuwa haina uhusiano na ametulia au hajatulia....???? we twende tuu
 
Mie hata sikuelewi.Huyu dada yako si alienda mwenyewe kwenye hiyo nyumba au alikokotwa?Aliwaamini vipi hao watu mpka akawafuata.Au hiyo nyumba aliyoingia ni ya nani?
nasikia eti kuna ubakaji miongoni mwa wana ndoa nikweli?
 
Back
Top Bottom