Dada yangu kapata matatizo, naomba msaada

Dada yangu kapata matatizo, naomba msaada

Anza na mwarabu piga sanaa
Walitutesea babu zetu enzi za slave trade
 
Jambo la busara hapo ni kuruhusu sheria ichukue mkondo wake,kama mmeshawaadhibu wapelekeni polisi na huyo dada yako atakuwa shaidi namba moja,tena asioge wala kunawa aende kama alivyo.Kinyume na hapo kesi inaweza kuwageukia au vita kali kutokea baadae.Cha muhimu chukua picha zao tupia humu kisha tuzisambaze kwenye mitandao jamii iwajue waharibifu wa wadogo zetu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Waombe mate!
wakuu ngoja niende shortcut..ni hivi nina dada yangu amemaliza form six ni lazima ni kiri ni mrembo na mpole sana........sasa juzi kuna mtu alinitonya kuwa kuna majamaa wanamfatilia dadangu yani wanamtaka tena kinguvu mi nikapuuzia kwa kuwa msimamo wa dadangu mi naujua sasa leo majira ya saa kumi huyo mtu akanambia amewaona hao jamaa wanaomsumbua dadangu maeneo ya mtaani hivyo amepata wasiwasi kwani amemwona dada nae kama anatoka (ni hivi hyu mtonyaji ni rafiki yangu mkubwa na pia huwa tunaitana shemeji kwa kuwa ni ukweli kwamba anampenda sana dadangu)

sasa kwa kuwa mi nilikua mbali kiasi nikamwambia amfatilie aone dada anakwenda wapi ndipo akamwona dada kapanda boda boda naye akachukua boda mpaka sehemu ambapo dada alishuka na kuingia ktk gari ndogo na kutokomea jamaa aliendelea kufatilia ambapo gari iliingia ktk nyumba moja yenye geti na hapo jamaa ndo akapata wasi zaidi na kuamua kunipa taarifa nami nikaona nilitilie mkazo japo nilihisi kama naingilia privacy ya dadangu

nami nilipofika ktk hilo eneo nilipata wasi kidogo mana japo ilionekana ni nyumba lakini haikuonesha dalili kama waliishi watu nikapiga simu kwa jamaa zangu kama watatu ivi ili kujihami just in case.....
walipofika tukaruka ukuta na kuingia ndani ambapo kwa nyuma tulisikia kelele kwa mbali za kulia na malalaniko ya hapa na pale tuluposikiliza kwa makini tukagundua haya majamaa yalimfosi dada mapenzi tena kwa zamu na ndipo tukashauriana kuvamia kwani hata milango hawakulock kwa kutodhania kama wangefatiliwa ama tu kwa ajili ya hiyo nyumba na mazingira.

tulipoingia ndani tulimkuta dada analia na huku jamaa wawili mmoja akiwa anavuta sigara wote wakiwa na boxer na mwingine alikua bafuni anakoga tukawaweka chini ya ulinzi na kupigo hevi tu yaani hapa navoandika hii post nina hasira mno na kilichopo ni kwamba tumetumia gari yao na tumeondoka nao tupo sehemu nyeti mno ni sisi na wao.......

dada kanieleza yote japo ni ya aibu na yanatia kinyaa na hasira lakini nikwamba kati ya hawa mbwa mmoja wao ni mwarabu mwenye nyodo na ndo kwao wenye hii site pamoja na hilo gari....mwingine wamemaliza wote shule juzi tuu na ndo aliyekuwa akifanya mawasiliano na dada na alimdanganya anampeleka kuna bosi amemtafutia kazi wakafanye part time wakati wanasubiri matokeo...
wakuu maelezo ni mengi sana na mpaka sasa tumeshafanya mengi tuu ninachoomba kwenu ni ushauri hawa jamaa tuwafanye nini au tuchukue uwamuzi gani mana uchungu niliyonao hata polisi na mahakama siwaamini kama watafanya kulingana na moyo wangu unavyotaka.....na muda unakwenda wakuu.....
 
wapeleke police kamwe usijichukulie sharia mkononi ystskujs kukubadilikia utajuta shauri yako.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa huyu dada yako anayetafutiwa kazi ya muda tutamuamini vipi ikiwa wewe kaka yake tu hukuwa na hizi taarifa??!! We naye, yaani hawa kinadada wa siku hizi ni wa kuwafuatilia kiasi hicho?!! Huyo dada yako ndio kwa kula bakora za kutosha maana ye mwenyewe hasomeki. Hao jamaa waache tu, maana unaweza kuja kushangaa dada yako anaendelea kuliwa na hao washikaji.
 
Huyo uliyekuwa mnaitana shemeji hakufai kabisa, alishindwaje kumshawishi dadako hadi kufikia hatua mbaya kama hiyo? Pia dada yako huenda alikuwa anawapenda washkaji, hajamaliza hata wiki 2 mtaani kashapigwa mzizi na watu tarara
 
Mlichokifanya kinatosha sasa nendeni polisi mkaandikishe maelezo bila kuficha chochote, natumai hamjawajeruhi kupita kiasi. Mkiendelea kuwadhuru basi hii kesi inaweza kabisa kugeuka na nyinyi kuwa ndiyo washtakiwa. Wapigeni picha pia na kukaa nazo kama ushahidi wenu maana polisi watachukua cha juu na kuweza kuigeuza kesi na nyie ndio mkapandishwa kizimbani.
 
Mmh, mambo mengine yanaogopesha hata kusoma. Japo maisha yako bob, kama movie kuruka ukuta na kadhalika.

mkisharipoti polisi umpeleke sista hospitali kwa ajili ya matibabu. Anaweza kuhitaji dawa ya kumkinga na ukimwi.
 
Ila kama dada alikubali mwenyewe kwenda nadhani hapo kosa ni la kwake.
Jingine kabisa hao watu we jifanye huoni afu wape kilema cha kukumbuka.
 
Wapeleke polisi haraka kabla msala haujakugeukia...kwaharakaharaka wewe unamakosa kama matatu hivi..polisi wetu unawajua, mtu akiwahi na akitoa hela kidogo ndio anasikilizwa
 
muwaingilie muwarecord ila mfiche sura au muwaambie waingiliane muwarecord. ..af muuze. .mahakama kibongo bongo kesi itakuwa ntolee hiyo tena
 
Dah hao jamaa walikuw wameshagawan njia.Huyo mwarabu asurubiwe maradufu..hao wengin hata ukiwatoa meno na kucha bila ganzi co mbaya.mwarab 0713 ihusishe
 
Nmechelewa ila next time policy za Waziri mkuu wa Uingereza inabidi itumike
 
Daaah!!aiseee ingekua mm wangeisoma No. vizur,nakushauri
1. muwabake tena kisawasawa
2. wanyweshe sumu ya panya subir had wafe ndo muondoke.ukijifanya uwapeleke kwenye vyombo vya sheria huambulii chochote serikali hii ipo mifukoni mwa watu.

3.
 
Back
Top Bottom