M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,274
- 19,592
Bila picha na namba yake ya simu sasa mchumba atampataje humu, kuwa serious kidogo.Nina dada angu hapati mchumba na akipata mchumba anamkimbia sijui tatizo nini pia hata yeye mwenye kasema hajui tatizo nini kaniambia nipost ujumbe huu japo apate ushauri afanye nini mana hajui hata yeye ana tatizo gani umri 25 miaka lakin wachumba kibao wanamkimbia hata akija kuposa halud tena ushauri':wenu
TATIZO ITAKUA NINI?
AFANYEJE?
USHAURI WENU
WAKUU