Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,753
- 27,477
Kwa wakati huu,siwezi kumfunza aishi na mume vizuri hapana,labda la kumuongezea awe na heshima kwa kila mtu,(issue za heshima ya ndoa hilo siwezi ni lake na huyo jamaa yake) mimi sitaki aishi kifukara au kwa shida,naishia hapo!,mkuu.Unamjaza ujinga hata akipata mme awezi kumuheshumu mwisho wa siku ndoa itavuñjika kwa kumjaza ujinga kwa maneno yako ya kipumbavu kwa kumtengeneza singo maza
Seran naomba ushauri wako mummy wangu,juu ya malezi ya huyu daugher wetu,hapo malezi yawaje?