Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,619
- 22,536
Hatuwezi kushauri afanye nini wakati background zake hatuzifahamu.Nina dada angu hapati mchumba na akipata mchumba anamkimbia sijui tatizo nini pia hata yeye mwenye kasema hajui tatizo nini kaniambia nipost ujumbe huu japo apate ushauri afanye nini mana hajui hata yeye ana tatizo gani umri 25 miaka lakin wachumba kibao wanamkimbia hata akija kuposa halud tena ushauri':wenu
TATIZO ITAKUA NINI?
AFANYEJE?
USHAURI WENU
WAKUU
Yaweza kuwa ni 'maharage ya mbeya', sisi au wewe kaka'ke tutajuaje?
Hakuna jambo linalovuruga future ya wasichana kama kujirahisi na kudhani kuwa kugawa penzi ni ushawishi wa kupendwa pamwe ndoa!
'Mwanamke mgumu' hana umri wa kupapatikiwa, soko lake ni kubwa na lipo wazi, mwambie atulizane, waoaji hawataki mwanamke mlaini.