Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,764
- 8,114
Mbaya sana, 16 ni Adolescent age, unamuoza minor ni kumuharibu kisaikolojia, anakosa kujiamini maisha yake yote.HUKU WANA MILA ZA HOVYO 16- WANAMUOZESHA SASA KWA 25 NI TREND
Mbaya sana, 16 ni Adolescent age, unamuoza minor ni kumuharibu kisaikolojia, anakosa kujiamini maisha yake yote.HUKU WANA MILA ZA HOVYO 16- WANAMUOZESHA SASA KWA 25 NI TREND
Akifikisha miaka 30 atamtafuta hata chizi amuoeBinti yangu wa kwanza ana miaka 26, Ni mpole sana na mtulivu na ni mrembo pia, sijawahi kumuona wala kusikia kuwa ana mvulana!
Ni binti yangu , sioni shida kwa yeye kutoolewa kwa umri huo, na silalamiki. Bora kuchelewa kuolewa kuliko kuolewa kwa haraka halafu akaingia mkenge, Ila ni maisha yake maamuzi yake hayanihusu japo bado namuona mdogo.
Sawa.Ila sio bongo.Akifikisha miaka 30 atamtafuta hata chizi amuoe
Kwamba 40 ni death sentence?!Muache akifikisha 40 ataongea ukweli, by the way maombi na Kwa Yesu ni silaha kubwa ya ushindi Kuna wengi wamepitia hayo na wameombewa na saiv wapo kwenye ndoa zao ova.
Mwambie apost yeye tuna vingi vya kumuuliza.Nina dada angu hapati mchumba na akipata mchumba anamkimbia sijui tatizo nini pia hata yeye mwenye kasema hajui tatizo nini kaniambia nipost ujumbe huu japo apate ushauri afanye nini mana hajui hata yeye ana tatizo gani umri 25 miaka lakin wachumba kibao wanamkimbia hata akija kuposa halud tena ushauri':wenu
TATIZO ITAKUA NINI?
AFANYEJE?
USHAURI WENU
WAKUU
No.Kwamba 40 ni death sentence?!
Usikute anaomba omba hela wanaume wanaomtongoza Ramtz JrNina dada angu hapati mchumba na akipata mchumba anamkimbia sijui tatizo nini pia hata yeye mwenye kasema hajui tatizo nini kaniambia nipost ujumbe huu japo apate ushauri afanye nini mana hajui hata yeye ana tatizo gani umri 25 miaka lakin wachumba kibao wanamkimbia hata akija kuposa halud tena ushauri':wenu
TATIZO ITAKUA NINI?
AFANYEJE?
USHAURI WENU
WAKUU
Mh!!!!!Pesa kashapata mpaka anatafuta mume?
Anaweza kuishi bila mume lakini hawezi kuishi bila pesa..