Dada yangu hapati mchumba, kila akipata anamkimbia

Dada yangu hapati mchumba, kila akipata anamkimbia

Sijawahi, mara nyingi hupenda kutoka na wadogo zake, shangazi yake na ndugu wengine, ila umenipa wazo nitamuuliza.
Mamake au shangazi yake anaweza kufanya hivo halafu wao wakakujulisha TU Jamani
 
Nina dada angu hapati mchumba na akipata mchumba anamkimbia sijui tatizo nini pia hata yeye mwenye kasema hajui tatizo nini kaniambia nipost ujumbe huu japo apate ushauri afanye nini mana hajui hata yeye ana tatizo gani umri 25 miaka lakin wachumba kibao wanamkimbia hata akija kuposa halud tena ushauri':wenu

TATIZO ITAKUA NINI?
AFANYEJE?

USHAURI WENU
WAKUU
Fuatilia mfumo wa malezi kwenye nyumba yenu. Utapata jibu linganisha familia yenu na nyingine utapata jibu
 
At 25, bado ana muda mwingi sana, aache kuishi kwa presha ya ndoa bali aishi kwa furaha.


Aache kujipa pressure Aweke focus kwenye kujiendeleza kwanza, inawezekana akawa na past trauma ambayo hajapona mpaka sasa.

Afoucus na maisha yake kwanza, mtu sahihi atakuja kwa wakati sahihi.
 
bado mchanga 25yrs anataka mchumba wa nini.mwambie atafute maisha kwanza ndoa zipo na ata mchumba wakupenda kwa dhati achane na wahun wakitaa
 
Labda nani,nitoe machache hapa,kuunga hoja mkono,pia ninaye bint of 22 ,full employed,ninacho pigania asimame imara sana na kazi yake,nampa full sapoti,sitaki awe stressed na issue za kuolewa,kwani huwa namwambia mmeo wa kwanza ni kazi yako,mme wapili ni huyo wa issue za upendo ""
Unamjaza ujinga hata akipata mme awezi kumuheshumu mwisho wa siku ndoa itavuñjika kwa kumjaza ujinga kwa maneno yako ya kipumbavu kwa kumtengeneza singo maza
 
Aisee,25yrs mbona Bado mdogo,atulize wenge
Miaka 25 kwa Binti ni miaka mingi sana,angekuwa mwanamume sawa, kumbuka mwanamke ana ukomo wa kuwa productive,na kadili anavyozidi kujua thamani yake Ina shuka
 
Back
Top Bottom