Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

Mtafutieni mtaji akajitegemee,wanawake siku hizi wanapenda kuwa single mother,wapo.wengi wameniomba niwazalishe tatizo ni kuwa wanataka niwajibike kwa mtoto itakapo hitajika.
Wanapenda sana kuishi bila ndoa siku hizi.
 
Ni dada yangu wa tumbo moja.

Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke.

Alipata mtoto akiwa kwenye ndoa , mtindo wa maisha yake tangu ana miaka 15 ulichangia sana kupata mimba kwa shida, wazazi waligharamika sana ili kutetea ndoa yake, Ilifanyika mipango daktari alikuwa anatoka Asia anakuja hapa bongo, gharama yake ya kumweka hapa bongo ilikuwa kama milioni 1 na nusu kila siku, Jumla ya gharama zake zilifika takriban milioni 60 na zaidi ili akamate mimba na isiharibike (Imebidi niweke kiasi ili mjue uchungu nilio nao), haya yalikuwa mapenzi ya wazazi kwa mtoto wakijua kabisa bila mtoto kwenye ndoa ni changamoto na ndoa inaweza kuvunjika. ilibidi Mashamba, viwanja, n.k viuzwe ili kugharamia.

Kapata mtoto wakiwa kwenye ndoa, baada ya miezi minne mtu karudi nyumbani kwa wazazi, kumuuliza vipi anasema ananyanyaswa, tulishangaa maana huyo mme wake ni mtu mstaarabu kabisa japo ninamjua dada yangu yeye ndie mwenye tatizo maana huwa ana kiburi flani hivi tangu namjua, ikawa wazi anamsingizia tu labda kachoka ndoa.

Sasa kuna wiki flani nlienda home nashangaa sista kajiachia kabisa, ka relax , Chakula anapika jumapili tu siku nyingine wanapika house girl, Nguo anazovaa akitoka hazina staha ni taiti nyepesi, jeans zinazombana utafkiri hana lengo hata tone la kurudisha ndoa, Mtoto kaletewa house girl mpya wa kumlea na gharama ni juu ya wazazi, kiukweli nilikuwa najisemea huyu kabla sijaondoka lazima nimtie mambata mazito,

Mme wake hana tatizo anatuma pesa ya malezi kila mwezi, nyumbani karibia kila kitu kipo, Jitihada ziliwahi kufanyika kurejesha ndoa ila sista nikawa namuona kabisa kama haonyeshi ushirikiano wowote, Yani kawa mzigo tu nyumbani nae ame relax kabisa
Nimenifunza kitu hapo👆🤔❗
 
Hakukuwa na haja ya kuandika hizo tarakimu za pesa sijaona kama mada yako ilihitaji kuweka hizo tarakimu
Kuna ubaya gani sasa au Unahisi jamaa anajimwambafai, Sioni kama Kuna Shida we soma upate Ujumbe bas Maisha Hatufanani hiyo hela kuna Familia wanayo ndio na wala sio Miujiza

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Vitu vingine sometimes wazazi wana vilea, utamsikia mzazi anamwambia mwanae "ukiona ana kunyanyasa rudi nyumbani........",binti nae bichwa hilo.

Nakumbuka miezi kama miwili iliyopita paroko msaidizi, alikuwa anawasisitiza wazazi wawafundishe watoto wao kazi za nyumbani, kwani kishachoka kusuluhisha kesi kama hizo, mwanamke hajui kufua hata chupi yake.
 
Kuna mzee mtaani kwetu alikuwa na binti mwenye akili mshindo kama huyo dadaako..
Maisha ya huyo binti yalikuwa yanamkera mzee wa watu mpaka basi.
Ukimkuta kwenye bao analalamika mwishoni anasema "dah huyu malaya dawa yake wapatikane wanaume wawili na mi mwenyewe (baba mtu) nikiwepo tumgonge mande mpaka akome
 
Watu waishi kadri watakavyo(liberty freedom to live as you wish). Kuandika au kutoandika haina tofauti. Ni vyema kujielekeza kwenye mada. That's very childish na mawazo ya kimaskini.
Braza punguza shobo
 
Niliwahi kuwa na demu kwao mboga nane ukimpigilia bao nyingi anaenda kusemelea kwa mamaake,nhhh nikaona hili jipu nikapiga chini,licha ya kuwa mifuko ilikuwa inatuna, haitoboki
Hii inaitwa karanga mbichi lawama kwa mama mkweee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni dada yangu wa tumbo moja.

Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke.

Alipata mtoto akiwa kwenye ndoa , mtindo wa maisha yake tangu ana miaka 15 ulichangia sana kupata mimba kwa shida, wazazi waligharamika sana ili kutetea ndoa yake, Ilifanyika mipango daktari alikuwa anatoka Asia anakuja hapa bongo, gharama yake ya kumweka hapa bongo ilikuwa kama milioni 1 na nusu kila siku, Jumla ya gharama zake zilifika takriban milioni 60 na zaidi ili akamate mimba na isiharibike (Imebidi niweke kiasi ili mjue uchungu nilio nao), haya yalikuwa mapenzi ya wazazi kwa mtoto wakijua kabisa bila mtoto kwenye ndoa ni changamoto na ndoa inaweza kuvunjika. ilibidi Mashamba, viwanja, n.k viuzwe ili kugharamia.

Kapata mtoto wakiwa kwenye ndoa, baada ya miezi minne mtu karudi nyumbani kwa wazazi, kumuuliza vipi anasema ananyanyaswa, tulishangaa maana huyo mme wake ni mtu mstaarabu kabisa japo ninamjua dada yangu yeye ndie mwenye tatizo maana huwa ana kiburi flani hivi tangu namjua, ikawa wazi anamsingizia tu labda kachoka ndoa.

Sasa kuna wiki flani nlienda home nashangaa sista kajiachia kabisa, ka relax , Chakula anapika jumapili tu siku nyingine wanapika house girl, Nguo anazovaa akitoka hazina staha ni taiti nyepesi, jeans zinazombana utafkiri hana lengo hata tone la kurudisha ndoa, Mtoto kaletewa house girl mpya wa kumlea na gharama ni juu ya wazazi, kiukweli nilikuwa najisemea huyu kabla sijaondoka lazima nimtie mambata mazito,

Mme wake hana tatizo anatuma pesa ya malezi kila mwezi, nyumbani karibia kila kitu kipo, Jitihada ziliwahi kufanyika kurejesha ndoa ila sista nikawa namuona kabisa kama haonyeshi ushirikiano wowote, Yani kawa mzigo tu nyumbani nae ame relax kabisa
Hawa wanawake hawa ila sababu nimeoa nawafahamu akili zao daah..
Kwa hiyo yupo tu home hata Kubet habet
 
nenda polepole, hujui kakimbia nini, hawezi kukwambia kila kitu. si ukute aliombwa ndogo na wewe unang'ang'ania arudi.
 
Back
Top Bottom