Mbona hii walishasema siku nyingi? Hujamsikia Zemarcopolo?CCM kwa uzushi hamjambo. Kuna siku mtasema dokta zaifu ni raisi bora wa dunia.
Mbona hii walishasema siku nyingi? Hujamsikia Zemarcopolo?CCM kwa uzushi hamjambo. Kuna siku mtasema dokta zaifu ni raisi bora wa dunia.
Jasusi,Ritz,
Nimetulia kama maji ya mtungi. Hamna cha povu wala cha nini. Ndiyo, ninayo maslahi katika familia ya Mbowe kama nilivyo na maslahi katika familia ya Nyerere. Umefurahi?
Mkuu na wewe ni waajabu sasa kwani mtu kuandikwa gazetini ni sifa?Angalau amepata nafasi ya jina lake kuandikwa kwenye gazeti na kujadiliwa JF... Amshukuru Mbowe kuwa mwenyekiti wa CDM maana vinginevyo tusingekuwa tunalijua jina Grace Mbowe...
We makalio, upo?Huku jf kuna watu wa ajabu kuna kitu gani cha maana cha kubishana hapo dah wadanganyika bwana!
Mapenzi hayaingiliwi na mtu yeyote na mpenzi huchaguliwi na mtu yeyote,Grace Mbowe ninamfahamu na ni kweli ni dada yake Freeman..
Kuweka historia vizuri ni kwamba huyu Grace alikuwa bosi wa kitengo kimoja pale CSSC Upanga.. Kabla ya hapo alikuwa na ofisi yake ya consultancy pale Billicanas.. Na alikuwa registered Quantity Surveyor na alikuwa yuko safi.. Baadae akapata matatizo baada ya kupata mwanaume mmoja mwenye jina la kitanga.. Akaja kuachishwa kazi pale CSSC na baadae ikawa mbaya maana alikuwa anaongea na watu na kuwaazima pesa (alikuwa na credibility kubwa tu mbele za watu).. Tatizo akawa akipata anamkabidhi huyo jamaa na hela zinapelekwa pwani.. Maisha yakaendelea hivyo mpaka akawa amechokwa sio na watu baki tu.. bali hata ndugu zake maana waligundua huyo mwanaume ndo anaembugisha Grace na walishamuambia mara kibao aachane nae lakini ikashindikana.. Ikafikia wakati akawa anakimbiwa hata na wale waliokuwa juniors kwake.. Wale ambao mwanzoni walimheshimu na kumu-admire.. Last time jina lake lilitolewa na AQRB (bodi ya wasanifu majengo) kwamba atafutwa kwenye usajili wa bodi..
Kama kweli amekuja na uamuzi huu mie siwezi kushangaa..
Muwe mnashangilia huku mkijua mmelamba galasa..
Mapenzi hayaingiliwi na mtu yeyote na mpenzi huchaguliwi na mtu yeyote,
wewe ulitaka aachane na mumewe ungemtafutia mume,
acha majungu dogo au alikutosa nini mtaipata mwaka huu.
Wewe si unajipendekeza kwa mbowe ili upewe kazi ya kusimamia mapato pale bilicanas club? Mm nina mawazo huru ndio michango yangu haikufurahishi ht kidogo
Umeulizwa mbona kwenye ishu zinazohusu unga mbona huwa unalala mbele? Mbona kwa kamanda Esta wasira hukushangaa? Au akinya kuku.......,..!!
We umekula lakini?Mapenzi hayaingiliwi na mtu yeyote na mpenzi huchaguliwi na mtu yeyote,
wewe ulitaka aachane na mumewe ungemtafutia mume,
acha majungu dogo au alikutosa nini mtaipata mwaka huu.
mkuu umeuwa umemalizaRitz,
Nimetulia kama maji ya mtungi. Hamna cha povu wala cha nini. Ndiyo, ninayo maslahi katika familia ya Mbowe kama nilivyo na maslahi katika familia ya Nyerere. Umefurahi?
Amejitambua kuwa yeye hawezikuwa msukule.
Inawezekana Mbowe alitaka ampeleke kwenye vurugu akaona upuuzi.
soon vijana wengi watajitambua pia
Umepotea sana humu jamvini tangu Taarifa za Dawa za kulevya zipambe moto tutazianzisha tena ili ukimbie jumla kumbe hii ndio dawa yako