wanayaongeza au wanayapunguza??Siyo mtu wa umbea ila nilisikia Masha Love kaenda nje kufanyiwa upasuaji wa maziwa.
Acha afe dalali wa mademu wenzie mjiniMambo yamemchachia na hali ya kiafya kubadilika baada ya balozi wa bidhaa flani ya kuogea kuingia theatre nchini uturuki hapo juzi kwa ajili ya sajari ya kurekebisha matiti na baadhi ya sehemu za mwili.
Safari ya uturuki ilidhaminiwa na boss wake ambaye ni dada ya mjini (ambaye jina lake la kwanza linafanana na malkia mmoja ambaye aliingia kwa mfalme akiwa natural yaani bila kujipodoa na mfalme akavutiwa naye. Jina la pili la sponsa aliyesimamia gharama ya safari hii ni broker).
Watu wako kwenye maombi ili Mungu amsaidie mambo yabadilike maana hali si hali kwa mdhamini (anawaza atapeleka wapi mtoto wa watu kama likimpata baya) na mdhaminiwa (ambaye inqvyosemekana yuko icu).
Huyu balozi wa bidhaa pia ni mzazi mwenzake na MC mmoja maarufu sana na mwenye maneno ya kukera. Ila jamani tuacheni kumkosoa Mungu...kama Mungu amekuumba na pasi ridhika, kama Mungu amekuumba na sura ya baba ridhika.
YAANI DUDU VERIFIED MI BADO....DAHAcha afe dalali wa mademu wenzie mjini
Nina video yake moja daaah ile kazi anayoiuza [emoji119][emoji119] mpaka dudu ilisimama
Nadhani wewe sasa utakuwa mrithi wa warumiMambo yamemchachia na hali ya kiafya kubadilika baada ya balozi wa bidhaa flani ya kuogea kuingia theatre nchini uturuki hapo juzi kwa ajili ya sajari ya kurekebisha matiti na baadhi ya sehemu za mwili.
Safari ya uturuki ilidhaminiwa na boss wake ambaye ni dada ya mjini (ambaye jina lake la kwanza linafanana na malkia mmoja ambaye aliingia kwa mfalme akiwa natural yaani bila kujipodoa na mfalme akavutiwa naye. Jina la pili la sponsa aliyesimamia gharama ya safari hii ni broker).
Watu wako kwenye maombi ili Mungu amsaidie mambo yabadilike maana hali si hali kwa mdhamini (anawaza atapeleka wapi mtoto wa watu kama likimpata baya) na mdhaminiwa (ambaye inqvyosemekana yuko icu).
Huyu balozi wa bidhaa pia ni mzazi mwenzake na MC mmoja maarufu sana na mwenye maneno ya kukera. Ila jamani tuacheni kumkosoa Mungu...kama Mungu amekuumba na pasi ridhika, kama Mungu amekuumba na sura ya baba ridhika.
Tangu Warumi Atutoke Umbea Hauna Mpashaji Mzuri TenaHii ni taarifa ya kiintelejensia ya umbea
Upogo ndugu yangu?Watu wanahela za kuchezea jamani...yale maziwa ya Dada balozi yanashida gani hadi waamue kuyapeleka Turkey?
Unafananisha mlima Kilimanjaro na kichuguu.Nadhani wewe sasa utakuwa mrithi wa warumi