mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,533
Kabisaaaaaaa kakimbia umande25,000×7 =175,000 per week
175,000 ×4 =700,000 per month
Atakua hakupiga hesabu
Kabisaaaaaaa kakimbia umande25,000×7 =175,000 per week
175,000 ×4 =700,000 per month
Atakua hakupiga hesabu
kwa kweli tehe tehe tehe
Avi yako pia inaweza kuwa imechangia.
njoo kwangu ila usiwe mgumu kushaurikaNakumbuka mwezi wa 4 mwaka huu katika pitapita zangu hapa jf nikakutana na bandiko la mdada mmoja anatafta mwenza wa maisha akaweka vigezo vyake vyote na mwishoni akasema awe mchapakazi,basi mwanaume nikamfuata hadi PM tukaanza mazungumzo yetu vizuri na vigezo vyake vyote ninavyo,ndipo akaniuliza unafanyakazi gani nikamjibu mie ni mbeba zege kwa siku naingiza 25000 basi toka siku ile mpaka leo hajibu PM zangu sijajua sababu ni nn wakati tulishaongea vzr mwanzoni
Utamwambiaje mwanamke ukweli?Nakumbuka mwezi wa 4 mwaka huu katika pitapita zangu hapa jf nikakutana na bandiko la mdada mmoja anatafta mwenza wa maisha akaweka vigezo vyake vyote na mwishoni akasema awe mchapakazi,basi mwanaume nikamfuata hadi PM tukaanza mazungumzo yetu vizuri na vigezo vyake vyote ninavyo,ndipo akaniuliza unafanyakazi gani nikamjibu mie ni mbeba zege kwa siku naingiza 25000 basi toka siku ile mpaka leo hajibu PM zangu sijajua sababu ni nn wakati tulishaongea vzr mwanzoni
Kama hujui sababu basi hii hapaNakumbuka mwezi wa 4 mwaka huu katika pitapita zangu hapa jf nikakutana na bandiko la mdada mmoja anatafta mwenza wa maisha akaweka vigezo vyake vyote na mwishoni akasema awe mchapakazi,basi mwanaume nikamfuata hadi PM tukaanza mazungumzo yetu vizuri na vigezo vyake vyote ninavyo,ndipo akaniuliza unafanyakazi gani nikamjibu mie ni mbeba zege kwa siku naingiza 25000 basi toka siku ile mpaka leo hajibu PM zangu sijajua sababu ni nn wakati tulishaongea vzr mwanzoni
Tatizo sana.Hapo atapendwa bank teller, ambae asubuhi ananinga tie, ana ka gari ka mkopo na mwisho wa mwezi baada ya kulipa madeni yote take home ni 150,000.
KWA kweli yaani bado hujapata mwengine tu25,000×7 =175,000 per week
175,000 ×4 =700,000 per month
Atakua hakupiga hesabu
Kwani hata hivyo ni mbeba zege? Alikuwa anampima kama anaweza kuwa ni mult purpose.Watanzani wengi wanapenda kudanganywa
Mambo ya uzushi
Ukisema ukweli ni taabu kwao.