Dada wa JamiiForums hajibu PM zangu tena baada ya kumuambia kazi yangu kubeba zege


Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
13,125
Likes
6,663
Points
280
Age
29
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
13,125 6,663 280
Nakumbuka mwezi wa 4 mwaka huu katika pitapita zangu hapa jf nikakutana na bandiko la mdada mmoja anatafta mwenza wa maisha akaweka vigezo vyake vyote na mwishoni akasema awe mchapakazi,basi mwanaume nikamfuata hadi PM tukaanza mazungumzo yetu vizuri na vigezo vyake vyote ninavyo,ndipo akaniuliza unafanyakazi gani nikamjibu mie ni mbeba zege kwa siku naingiza 25000 basi toka siku ile mpaka leo hajibu PM zangu sijajua sababu ni nn wakati tulishaongea vzr mwanzoni
 
kopites

kopites

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
5,079
Likes
4,328
Points
280
kopites

kopites

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
5,079 4,328 280
He he hee,kakuona mnuka jasho itakua.
 
K

kimeloki

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Messages
2,303
Likes
1,537
Points
280
K

kimeloki

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2012
2,303 1,537 280
hatari sana
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
24,111
Likes
39,108
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
24,111 39,108 280
Mm nmeshamjua huyo dada
 
A

augustino martin mrema

Member
Joined
Nov 28, 2016
Messages
28
Likes
6
Points
5
Age
27
A

augustino martin mrema

Member
Joined Nov 28, 2016
28 6 5
Kaofia utaleta njaa nyumbani maana nackia mnakula san
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,783
Likes
27,984
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,783 27,984 280
hahahahahahah, mwambie ulikuwa unamtania wewe ni msaidizi wa JPM pale karibu na Ferry
 
boyson onlye

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Messages
795
Likes
642
Points
180
boyson onlye

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2015
795 642 180
Ndio mana wanatafuta kila siku na Hawapati

Wengine eti Mnuka Jasho

We mdanganye tu ule alafu usepe
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,844
Likes
13,885
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,844 13,885 280
Watanzani wengi wanapenda kudanganywa
Mambo ya uzushi
Ukisema ukweli ni taabu kwao.
 
mrsleo

mrsleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Messages
1,924
Likes
1,300
Points
280
mrsleo

mrsleo

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2014
1,924 1,300 280
huyo miss chaga nini? :):D:p
 
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
7,702
Likes
8,831
Points
280
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
7,702 8,831 280
Pendo eeh
Pendo mimi mumeo kazi yangu ni kibarua
Cha kuponda kokoto hapa mjini
Pendo eeh
Aaah aah pendo
Elimu yangu ya ngumbalu pendo
Kisomo changu cha mwembeni pendo
Noti nitazipata wapi
Ulipokuja kwetu kunioa ulikuja na mbwembwe nyingi
Na kusema wewe ni muhasibu wa kiwanda huko kwenu
Na pia una shamba kubwa na mifugo
Iweje leo uniambie wewe ni mponda kokoto?
Pendo toka enzi za mababu uongo ulitumika
Nb namkumbuka marehemu jerry Nashon"Dudumizi kwa kibao hiki.
 
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
13,125
Likes
6,663
Points
280
Age
29
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
13,125 6,663 280
HIVI ILI UISHI NA MWANAMKE UNATAKIWA UWE UNAPATA BEI GANI? HAPO NDIPO SIELEWI WANAWAKE WANATAKA KITU GANI HASWA KAMA MTU ANAPATA 25000 KWA SIKU MARA SIKU 30 ANATOFAUTI GANI NA DAKTARI WA MUHIMBILI/LOAN OFFICER/AFISA BIASHARA HALMASHAURI DAAH! KWELI WANAWAKE VIPOFU
 
NIMPENDENANI

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Messages
6,139
Likes
4,518
Points
280
Age
29
NIMPENDENANI

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2014
6,139 4,518 280
hahahah nimeishia kucheka tuu,sasa alitaka uwe unafanya kazi gani au hajui kazi ni kazi? achana nae hajui anachotaka
hiyo hela mbona nzuri tuu unamshinda hata anavaa suit na tie..
 

Forum statistics

Threads 1,274,693
Members 490,736
Posts 30,521,144