Dada wa JamiiForums hajibu PM zangu tena baada ya kumuambia kazi yangu kubeba zege

hata mm yamenikuta hayo baada ya kumwambia mwanamke fulan mm ni mdananda na super marioo amekata mawasiliano dah! hivi wadananda hatuna haki ya kupenda? naumia sana
 
Tunapenda kudanganywa.
Tatizo wewe ulisema ukweli.siku ingine usirudia km kweli unataka ku win
 
CV baba. CV yako ina ukakasi kutamka ukweni ndo maana kapita kule...

Next time usiwe mkweli kwa hawa viumbe. Hata Adam ali dang' dang' kueleza ukweli kwa eva ndo maana tukafika huku!!!
Samahani lakini...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom