Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Mwanaume gani unakosa ujasiri wa kumuomba mwanamke unamtaka namba?

Ujasiri ninao sana tu tatizo lilikuja hapa.! Yule dada huwa anakuwa na rafiki zake so kuna siku nikawa napiga naye stori baadae nikawa nimeondoka so nikawa sijachukua namba ..! Kuonana naye juzi ile nilimkuta maeneo hayo hayo wanazungumza mambo ya michezo sijui imekuaje..! Nikaona nikiomba namba hapa na yuko na rafiki zake nikaona sio vizuri ningojee rafiki zake waondoke nichukue namba. So badala ya kubaki yeye aliondoka na wenzake Mkuu. Ila mwenyewe nimeongea naye na kanielewa na tunachati tu sasa hivi.
 
Habari gani wadau na wanajamvi wenzangu wa jamvi pendwa la MMU?

Eti mtu nimekuwa napiga naye stori kila mara kwenye ki glosari kimoja hivi. Sasa nikawa nimemuelewa, huyu dada ni mzuri kusema ukweli halafu anakamwili fulani portable sana yaani .

Nikawa namvutia muda tu, basi akawa ananipigisha stori za hapa na pale. Sikumuomba namba, juzi nikaomba namba yake kwa rafiki yake. Daah yule dada bila hiyana hakuninyima maana nikimwambia nimempenda rafiki yako kusema ukweli.

Sasa nimemtafuta huyu dada, nakwambia kakomalia eti nimwambie nani kanipa namba yake. Swali ni kwamba, una miaka 28+ hujaolewa, uko single unapata wapi jeuri ya kumkomalia mwanaume akuambie amepewa na nani namba yake?

Seriously

Kuweni serious basi dada zetu.

Huyo anaogopa kugongesha magari wanawake now days wana chain ndefu kutaka kujua umepata wapi ili kujiridhisha na sio kwa usalama hapana na boys tunatabia jamaa akipita kwa demu flan akakusimulia kuwa demu yupo vzr lazima na wewe utake kupita
 
Wewe ndio hauko serious asee,.tena huyo dada akikupea tam bila kumjibu swali lake kuwa umepata wapi namba yake,basi wewe na yeye wote "juakali".....
Ujinga kuanza kung’ang’ania nani kakupa namba yangu! Unajua obvious ni mtu unayemfahamu ndio atakuwa kampa namba sasa usumbufu wa kazi gani
 
Kwa hiyo ukimwambia ulipoitoa namba utapungukiwa nini?huu ni utoto wakati kama umemfata mwenye 28+ wewe utakuwa kwenye 30 huko,mtu mzima wewe

Acha kuplay hide and seek,kama ulishindwa kumuomba namba yeye moja kwa moja atleast mwambie ulipoipata...umri wake usikufikirishe sana
Unaliona jepesi hilo!? Yani ubaya ukishatajiwa utakimbilia kumchamba alietoa namba kama vile sijui amefanya dhambi gani!
 
Halafu ukishatajiwa flani katoa namba ukamletee makelele ama ni kitu gani kitafuata?
Yeye ndio mzizi wa matatizo lazima ajulishwe kuwa alivyofanya sio sawa ili siku nyingine asirudie.Sio kila mtu anapenda kugawa namba yake private ovyo yeye alikuwa ni kama nani achukue maamuzi atoe namba kiholela tu.Rafiki mwema hawezi kufanya hivyo!Yaani kamuuza mwenzie hivihivi lol 😅 halafu hataki muhusika ajue kwasababu anajua anakosa la jinai!
 
Ujasiri ninao sana tu tatizo lilikuja hapa.! Yule dada huwa anakuwa na rafiki zake so kuna siku nikawa napiga naye stori baadae nikawa nimeondoka so nikawa sijachukua namba ..! Kuonana naye juzi ile nilimkuta maeneo hayo hayo wanazungumza mambo ya michezo sijui imekuaje..! Nikaona nikiomba namba hapa na yuko na rafiki zake nikaona sio vizuri ningojee rafiki zake waondoke nichukue namba. So badala ya kubaki yeye aliondoka na wenzake Mkuu. Ila mwenyewe nimeongea naye na kanielewa na tunachati tu sasa hivi.
Mkuu,
Usiufanye mjadala kua mrefu.

Sio kwamba kila anaekukosoa humu anakuchukia au anakuonea wivu.

Unatakiwa ukubali kabisa kua Ulifeli sana hapo Kama mwanaume,

Kuomba namba kwingine wakati mwanamke husika una mawasiliano nae vizuri Ni ishara tosha kuonesha kutokujiamini kwako.

Pia,
Kukimbilia Kwenye conclusion za kitoto kua kila mwanamke over 28 Ni zoa zoa unakua unafeli Kama mwanaume.

Mwanamke anaweza seriously anahitaji mume au mwanaume wa kua nae maishani, ila still asivutiwe na wewe.
Na ukimfata akakuchomolea USO MKAVU kabisa.

Mwanamke anaweza kua seriously anauza uchi (KAHABA),
Ila still ukaenda na pesa yako akakukataa na akamuuzia mwingine.

Kwaiyo,
Unapaswa kuheshimu choices za kila mwanamke.
Na sio kila mwanamke unaemuona unamchukulia very cheap.

Kwanza mkuu Ulipata wapi habari kua uyo mwanamke yuko single?
Kama uliambiwa na mwanamke mwenzie jitafakari, utakua umedanganywa?

wanawake kwa wanawake sikU zote hawaambianagi Siri zao za mahusiano hasa hasa kwa wale wanaowapenda sana.
 
Yeye ndio mzizi wa matatizo lazima ajulishwe kuwa alivyofanya sio sawa ili siku nyingine asirudie.Sio kila mtu anapenda kugawa namba yake private ovyo yeye alikuwa ni kama nani achukue maamuzi atoe namba kiholela tu.Rafiki mwema hawezi kufanya hivyo!Yaani kamuuza mwenzie hivihivi lol 😅
Sasa we badala ufurahie unatafutwa af msiifanye kuwa big deal! Akikupigia mwanaume ambaye nawewe ulikua unamzimia wala hutakomalia mambo sijui ya namba kaitoa wapi ila kila kitu kinaenda smooth like butter!

Tabu tunapewa sie ambao hatuna mivuto! Unamjua kabisa ni Juma ndio kakutafuta ila kwa kuwa ni shambaboy unaona hastahili kuwa na wewe ndio unamtia unyonge kwa kukomalia nani kakupa namba!
 
We ningeshampiga block siku nyingi!Tena ndo kama hata kujieleza ndo anazunguka kizungumkuti sina muda wa kupoteza kabisa!
 
Back
Top Bottom