Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

hebu rudi uwape dozi hawa wajinga wajinga.

Halaf kwa uanaume gani alio nao hadi awe na mwanamke. Kwanza huyu bia alizokunywa amejaza kwenye daftari la Manka la madeni

We msimbe bado unataka league sio ??
 
muache aendelee kuuliza ujinga kama huo badae utamskia kwa mwamposa ameenda kukanyaga mafuta apate mume

Wasimbe shida sana, wanajishaua hapa wakati Nafsi zinawauma muda umewaishia. Jua limezama alfu bado mnaleta pigo kama uko 22 wakati hapo anaitafuta 35 huku anahangaika na vikoba.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom