Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Shonza ni mmojawapo wa makundi maalum ya Mwigulu
Aibu kwao kwa kukubali kutumiwa na kuwa wategemezi/chuma ulete wakati umri unawataka wajishughulishe na kutumia uwezo na maarifa waliyojaliwa na Muumba
Kawa dada leo? hahahahahahaaaaaahaha
Wana-JF!
Katika pekua pekua zangu, nimekuta taarifa isemayo kuwa, dada Juliana Shonza alihakikishiwa ubunge wa viti maalumu kama angekosa fursa ya kugombea jimboni katika majimbo ya uchaguzi.
Kuhakikishiwa huko kulifuatia kukubari kwake kushiriki katika kukinadi CCM na kueleza mabaya ya CHADEMA kwenye majukwaa katika harakati zake za kisiasa.
Ila ndoto zake hizo za ubunge wa viti maalumu ziko njia panda, kwani mapendekezo ya awali ya rasimu ya katiba yana eleza kuwa;
"hakuta kuwa na viti maalumu isipokuwa kwa makundi maalumu tu kwenye jamii", na mimi nijuavyo dada Shonza wewe sio kundi maalumu.
Dada Shonza, taarifa hii imetapakaa tayari, jambo la msingi ni kuitolea ufafanuzi taarifa hii ili uweze kusafisha hali hii ya sintofahamu kwa wana-CCM na jamii kwa ujumla.
Na alivyojiharibia kwa kusema ccm imejaa mafisadi ndo kabisa tutamsahau
BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana
Mama mjamzitoKumbe huwa ni Kaka?
Nina maana ya loophole, back door, discrepancy. Etcetera etcetera etcetera....
BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana
"USALAMA WA JULIANA SHONZA NA MTELA MWAMPAMBA" kuna uwezekana wameamua sasa kumfanyia ukweli manake mimi taarifa hizo nilizikuta hapahapa Dodoma ila mods wakafunga uzi.
Mkuu, mimi pia ni kada, wala hanisumbui huyu Shonza, ila hakuna kitu nacho kichukia kama mtu opportunist, huyu dada na juhudi zake hizi ana fanya kwa ukereketwa wake ama ana tarajia fadhira?
Kuna vijana wengi tu wa UVCCM wamewekwa kando, ila kuwatumia hawa vijana kwa mfumo huu ni kusema hapo awali kabla hawa vijana hawajahamia, CCM haikuwa na vijana wa kukinadi chama?
Aliyokua anayasema kuhusu ccm kipindi yupo Chadema yanaukweli?Ama kweli njaa + u malaya ni vitu vibaya sana.