MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Bora kubinafsisha akili kuliko kuiuza kabisa.Sasa kilicho kufanya kuja na maelezo mareeeeefu hivi halafu utuambie kwamba "Anyway, hili ni juu ya Juliana Shonza kulitolea ufafanuzi kama atapenda" maana yake nini?
Hili ndilo tatizo la "KUBINAFSISHA AKILI" lazima uandike kile Bwana anapenda. Kutwa kucha upo mbele ya computer cha maana unacho post hakuna.
Mbona hata yeye mwenyewe anajua kwamba kaahidiwa! Au ndio bifu kati ya wewe na Juliana kwa Mwigulu limeanza? Tujuze!
Akili yako umeiuza kiasi kwamba unaweza kujua kama mimi kutwa kucha nipo mbele ya computer na huku ukifuatilia ninacho kipost ambacho unasema hakina maana. Huwezi kupata mtu mwenye akili timamu ambaye kutwa kucha anafuatilia kusoma post ambazo hazina maana. Huyu mtu atakuwa ameuza akili zake, kwa maana nyingine, he's empty headed if not imbecile.