Kuahidiwa NDIZI huku MGOMBA unafyekwa!
hahahaha.......well spoken
Kuahidiwa NDIZI huku MGOMBA unafyekwa!
Huna uhakika wewe Igunga alivunja ndoa ya mtu.Kaka unata kusema Mwigulu anajiponea kwa Shonza?
Kiongozi wangu Mwigulu hana tabia hiyo.
Ni mchezo wa kutengenezwa huu hamna chochote hapo,na inawezekana ni magamba wenzake wanataka kumfanyia na wana sababu za kumfanyia hivyo,na moja ya sababu ni kuipotosha jamii juu ya tukio husika,siasa za kizamani,maccm ni majitu ya ajabu sana lakini kwa kadiri Mungu aishivyo watanaswa wenyewe kwenye hila zao,na tutawafukia kwenye mashimo wanayowachimbia wapinzani.Pambaf sana.BREAKING NEWS:JULIANA SHONZA ANUSURIKA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA MJNI DODOMA
Habari zilizopatikana sasa hivi kutoka DODOMA zinasema JULIANA SHONZA amenusurika kutekwa na watu waliokuwa wenye gari(TINTED). Ni katika eneo NKUHUNGU-DARAJA MBILI karibu na MALUWE BAR. SHUHUDA wa tukio hilo amedokeza kuwa baada ya kugundua kuwa kuna wtu wanamfuatilia kwa nyuma aliamua kukimbia , ndipo watu hao waliposhuka na kuanza kumfukuza. Inasemekana kilichomsaidia dada huyo ni kitendo chake cha kuamua kukimbilia ndani ya nyumba ya mtu na wabaya wake wakaamua kurudi na kupanda gari lao na kutokomea kusikojulikana
Ubunge wa VITU MAALUMU!!Kaka unata kusema Mwigulu anajiponea kwa Shonza?
Kiongozi wangu Mwigulu hana tabia hiyo.
Wewe unamjibia Juliana kama nani? kwenye Kuhemewa pia unamsaidia?
Ubunge wa VITU MAALUMU!!
Mkuu, Kabla ya kufikia uamuzi wa kumtaka aje kukanusha ungejenga hoja mbadala kwanza ya PROCESS ambayo CCM walikuwa wanaitumia kuwapata wabunge wa viti maalum na kama ungepata upenyo wa shimo linalotumika kufanya kile ambacho unadai Juliana Shonza aliahidiwa, ndiyo ungekuja na hoja ya kumtaka akanushe.
PROCESS ambazo CCM ilikuwa inazitumia katika kuwapata wabunge wa viti maalum ziko wazi na siyo kama baadhi ya vyama vingine ambavyo wabunge wake wa viti maalum walipatikana kwa njia ambazo ni viongozi wachache wanazijua.
Hata nafasi ambazo Rais alitakiwa kikatiba kuzitoa kwa watu anaopenda bila kuulizwa sababu yake, Rais alizitoa kwa uangalifu mkubwa kwa watu ambao kila mwenye akili pevu alijua sababu za msingi za kufanya hivyo kwa maslahi ya Taifa.
Hoja yako inakosa nguvu kwa vile msingi wa hoja hauko.
Anyway, hili ni juu ya Juliana Shonza kulitolea ufafanuzi kama atapenda pamoja na kwamba hakuna basis za kufanya hivyo.
Watamng'oa jicho moja au wamkate mguu, awe mlemavu, chezea magamba!