ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Teh teh, huyu dada nasikia analea mimba, sijui ni kweli? Na je vigogo wa lumumba si wanahusika?
shonza hatumikii kifungo kweli(ban)
Hili la viti maalumu sidhani kama kamati kuu itaridhishwa nalo, maana mmh.
Teh teh teh teh teh teh teh teh itakuwa niya mwigulu mchemba.Teh teh, huyu dada nasikia analea mimba, sijui ni kweli? Na je vigogo wa lumumba si wanahusika?