Dada Juliana Shonza, haya ni ya kweli?

Dada Juliana Shonza, haya ni ya kweli?

Status
Not open for further replies.
Kaka unata kusema Mwigulu anajiponea kwa Shonza?

Kiongozi wangu Mwigulu hana tabia hiyo.
Unajifanya KUSAHAU alichomfanyia mwana-CCM mwenziye kule IGUNGA wakati wa kampeni za KAFUMU?!Hujajiuliza kwa nini siku hizi MWIGULU haachi kipima joto chake(JULIANA) kila aendako?! Yule si mchumi wa vitabu peke yake,,,Hata vita ya ARDHINI....
 
Ukitaka jibu la haraka, Kawaulize wanaCCM Geita watakupa jibu au ukitaka kuushughulisha kidogo ubongo wako, ziondoe akili za kibavicha bavicha na nenda ukasome taratibu za CCM zinazotumika kuwapata wabunge wake wa viti maalum.
Mbona mapovu yanakutoka sana wee gamba?wewe ndio unatafuna lile salia nini?kitu maalum hamumpi na uroda mumebunya muoneeni huruma,mzee warioba kashambania white atakula hayo macho sasa!!
 
source?
nazani alie mpa mimba anataka ayanye abotion kinguvu.....
pia....
ccm wanaweza watoa kucha awa watoto walio hama cdm, ili kuisingizia chadema. na huyu dada kuanza kuropoka kuwa ccm inaongoza kwa mafisadi pia kitamcost......hawa ni chambo ndani ya
ccn
Mkuu hapo kwenye bold hawakuhama Chadema,tumefukuza kama mbwa mwizi ndani ya nyumba....hatukai na mala...a ndani.
 
Ila tunawapaisha sana hawa watu...kwa kuwadiscuss kila siku
 
Ushamba Huo Juliana Na Watanzania Wa Leo Hawaitaji Mtu Mwenye Tamaa Ya Madaraka Bali Mtu Mwenye Uwezo(vision). Mwigulu Endelea Kujipigia Na Wengine Pia Kwa Sababu Ni Chabure
 
Aliaidiwa kuwa mbunge wa viti maalumu mwaka gani? 2010 or 2015, Jamani i know the girl kamaliza chuo UDSM 2011 after uchaguzi kuwa umepita, inawezekana ukawa mbunge wakati bado uko shule?
 
Mkuu, Kabla ya kufikia uamuzi wa kumtaka aje kukanusha ungejenga hoja mbadala kwanza ya PROCESS ambayo CCM walikuwa wanaitumia kuwapata wabunge wa viti maalum na kama ungepata upenyo wa shimo linalotumika kufanya kile ambacho unadai Juliana Shonza aliahidiwa, ndiyo ungekuja na hoja ya kumtaka akanushe.

PROCESS ambazo CCM ilikuwa inazitumia katika kuwapata wabunge wa viti maalum ziko wazi na siyo kama baadhi ya vyama vingine ambavyo wabunge wake wa viti maalum walipatikana kwa njia ambazo ni viongozi wachache wanazijua.

Hata nafasi ambazo Rais alitakiwa kikatiba kuzitoa kwa watu anaopenda bila kuulizwa sababu yake, Rais alizitoa kwa uangalifu mkubwa kwa watu ambao kila mwenye akili pevu alijua sababu za msingi za kufanya hivyo kwa maslahi ya Taifa.

Hoja yako inakosa nguvu kwa vile msingi wa hoja hauko.

Anyway, hili ni juu ya Juliana Shonza kulitolea ufafanuzi kama atapenda pamoja na kwamba hakuna basis za kufanya hivyo.

Wamem promise Ukuu wa Wilaya, kama vile walivyofanya kwa Makada wengine wa CCM
 
Wewe unamdanganya nani na siasa zenu za uongo naona juliana shonza anawatesa hadi hamlali mimi nashindwa kuwaelewa kweli mtoto wa kike anawatesa kiasi hicho kweli huyu dada kiboko.

hivi hujui hamy-d ndio mkuu wenu katika lile jopo la buku saba au sababu we ni mgeni
 
Alianzisha mkoa mpya wa geita ili viki apite kilaini kama maini akili za kimccm hatari sn
Ukitaka jibu la haraka, Kawaulize wanaCCM Geita watakupa jibu au ukitaka kuushughulisha kidogo ubongo wako, ziondoe akili za kibavicha bavicha na nenda ukasome taratibu za CCM zinazotumika kuwapata wabunge wake wa viti maalum.
 
Ila wewe jamaa yangu Safari ni Safari uwaga unanifuraisha sana na hii misemo yako. Hii hapa inamaanisha nini Mkuu: Zogolo Dangu Dawika Miye! Kitakuwa kilugulu cha Matombo hiki. Au? Ameahidiwa Ndizi eti? ha ha ha

Jogoo langu lina wika..kizaramo hiki!
 
ukisikia mtu kapishana na gari la mshahara basi ndo huyu juliana ,maana kutoka kuwa makamu m/kiti bavicha taifa mpaka kuwa posho ya mwigulu
 
Mkuu, Kabla ya kufikia uamuzi wa kumtaka aje kukanusha ungejenga hoja mbadala kwanza ya PROCESS ambayo CCM walikuwa wanaitumia kuwapata wabunge wa viti maalum na kama ungepata upenyo wa shimo linalotumika kufanya kile ambacho unadai Juliana Shonza aliahidiwa, ndiyo ungekuja na hoja ya kumtaka akanushe.

PROCESS ambazo CCM ilikuwa inazitumia katika kuwapata wabunge wa viti maalum ziko wazi na siyo kama baadhi ya vyama vingine ambavyo wabunge wake wa viti maalum walipatikana kwa njia ambazo ni viongozi wachache wanazijua.

Hata nafasi ambazo Rais alitakiwa kikatiba kuzitoa kwa watu anaopenda bila kuulizwa sababu yake, Rais alizitoa kwa uangalifu mkubwa kwa watu ambao kila mwenye akili pevu alijua sababu za msingi za kufanya hivyo kwa maslahi ya Taifa.

Hoja yako inakosa nguvu kwa vile msingi wa hoja hauko.

Anyway, hili ni juu ya Juliana Shonza kulitolea ufafanuzi kama atapenda pamoja na kwamba hakuna basis za kufanya hivyo.
Mh!!! hata Ritha Mlaki na Meghji ni kwa maslahi ya Taifa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom