TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Marafiki wa dereva anayedaiwa kugonga pampu ya mafuta wakishuhudia tukio ,kushoto ni mhusika akijificha sura yake
Dada alikuwa anaendesha kwa mbwembwe na alikuwa amewapakia mashosti huku akiwa amevaa tinted machoni kilicho mkuta ndo hicho alitaka sifa sasa zimemgarimu
bado najiuliza ni vipi ameifikia hyo pampu
alikuwa katika mwendo gani hata pawe na madharamakubwa hvyo
..Mbwembwe tu hapo..unaweza kukuta alikuwa analonga na buzi lake kwenye blackberry yake kutahamaki kitu hiki...anaongeza moto badala ya breki..noma!Ilikuaje akafikia hiyo pump!!! loh!!
Ah! Sikonge, ebu muhurumie dada wa watu jamaniNasikia ALIPIGA HONI ila Pump haikumpisha. Hizi Pump za siku hizi bana......