Dada agonga pampu ya kujazia mafuta

wengi madem ,,hawajui magari ,,magari ya mikopo,,itabidi akauze kiwanja atengeneze pump...ya mafuta

Halafu hata huo mwelekeo wa gari si kama lilikuwa litaka kugeuza na sio kujaza mafuta maana alikuwa anaiface pump wakati ilitakiwa iwe pembeni !
 
Sasa huyu dada alegonga hapo ni kwamba alikuwa amefunga macho wakati anaendesha au hajui kuendesha?
 
Kuna nchi wanawake hawaruhusiwi kuendesha gari, right?
Saudi Arabia hawaruhusu (kwa imani yao, si kwa kudharau uwezo wa wanawake). Lakini pia Ufaransa hawaruhusu mwanamke aliyevaa hijabu kuendesha gari (bila shaka hata huyu wa kuvaa tinted asingeruhusiwa)
 
Back
Top Bottom