Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani Leo Imebidi tuuu Nichangie Kiukweli Natamani Siku Moja Niwaone DABY Na STUNTER Face to Face Yani Mnanikoshaga Saana Jamani Natamani Niwanunulie hata Lunch.....
Haha asante mkalusanga tuombeane uzima tu nakuapia
 
1. Sipendi bia labda nikilazimisha Heineken. Hapo ushapata pombe gani nakunywa.
2. Fegi situmii bro
3. Haha yupo shemeji yako mmoja bwana.
Ha ha ha.. Classic Man, keep it up niggah.

Wacha nikaranduke.
 
Back
Top Bottom