Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Yes[emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87]
Yes[emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87]
Metii pii. Irurai taade.Kanyoo enyamali ??
Hebu rudi chap, Arusha kwasasa ni tamu aisee hadi sitaki kutokaAisee kumbe majirani wengi humu, ila me mwenyew kwa sasa nipo nje kidogo ya Arusha
Sheeh.. [emoji120][emoji120][emoji119]
Aisee ngoja sasa nirudi nisome kikaango kinahusiana na nn nikutwange swali mana nimekimbilia tu kucomentHaha.. nisamehe tu..kesho jmosi sio haha...
Mwambie asisahau na fegiWaiter leta balimi mbili za baridi,
Haya mabomu ya kujitakia
La kwanza nilishalijibu huko nyuma swahiba ambalo litayacancel ya mbele mengine.Basi jibu hayo maswali yangu mawili pekee
Utamu gani tena wakat sahz najua mnaugulia baridi la kufa mtu mnaamka tu na ukungu njeHebu rudi chap, Arusha kwasasa ni tamu aisee hadi sitaki kutoka
[emoji3][emoji3][emoji122][emoji122]Metii pii. Irurai taade.
Hii hali ya ubaridi ndio hasa raha yangu, wazee wa suti ndio muda mwafaka kung'ara, shuka linafunikika mambo safi kabisaUtamu gani tena wakat sahz najua mnaugulia baridi la kufa mtu mnaamka tu na ukungu nje
Jirani wewe utasimuliwa na mtakatifu bwanaAisee ngoja sasa nirudi nisome kikaango kinahusiana na nn nikutwange swali mana nimekimbilia tu kucoment
Babu eti[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Nime noti kitu hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajaja sasa mpk sahv! MwiteJirani wewe utasimuliwa na mtakatifu bwana
Vyote vimeshafika mkuu, jisevie.Mwambie asisahau na fegi
Osotua notomononi [emoji4]Ashenaleeeh.....
Shee? Iye ena Kasie enake enkai tung'an?Ashenaleeeh.....