Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Swali kwa babuuu....... Je hao baadhi ya wanawake walio wahi kukutongoza uliwahi mukubalia hata mmoja????

Swali la pili.......kuna baadhi ya kazi ulizotaja km mwanamke anazifanya huwezi kua nae.... Kwahiyo hata km umenpenda kutoka moyoni km anafanya hizo kaz huwezi kuanza nae mahusiano??? (Mapenzi hayana formula)
Swali la tatu....ulishawahi kufumaniwaaa????[emoji4]
Nime noti kitu hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1=una mke, mtoto au watoto?? Kama ni ndiyo unajickiaje kuitwa Baba?? Na unawashaurije wadada wanatoa mimba na wakaka wanaokataa mimba??
 
Back
Top Bottom