Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?

KUWA MPOLE. KUTOKUPOKELEWA KWA SIMU AU KUTOJIBIWA MSG SI USHAHIDI KUWA AMEKUSALITI. HAYO NI MAMBO YANAYOUJITOKEZA TU LABDA ALIKUWA MBALI NA SIMU AU ALIJISAHAU TU.

INAELEKEA UNA WASIWASI SANA KUWA UMESALITIWA. JE HII NI MARA YA KWANZA AU YALISHAJITOKEZA TENA, NA ULIGUNDUA NINI KAMA YALISHAJITOKEZA TENA.

NB:
UKIWA MJAJA, KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI HUSIILETE HUKU UTAKUTANA NA MAJIBU YA KUKUKATISHA TAMAA
 
Nakumbka nna ex wng, alikuwa ananiaga anaenda kwa Dada ake kumbe anapeleka papuchi kitaa kwingine, nilivyogundua nikamwambia akajiliza Liza nikavunga yameisha siku kazama upya kwangu deep nkamwacha mpk sasa huwa haelewi ni kwanini nilimwacha
duuh ulimuweza aiseee
 
Aaaaaaaah mbona kitu rahisi tuu , na wewe tafuta wa kumchapa . Ili muwe ngoma droo. Ya nini kujipa shida Yakhe?
 
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Nenda huko ukamuone
 
Kwani hukujui huko mbezi alikoenda? Kwanini hukumfuata ukahakikishe? Ndo tatizo la wanaume wa Dar
 
Huyo katatuliwa hadi rinda.. embu angalia vizuri marinda...[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38] Kuchapiwa ni siri ya ndani

Ama ndio zile videos zilizo vuja?
 
KaliwA hadi saa tatu asubuh ndo kaachiwa na mshedede ambao alikua anamshindua uck Kucha,kusoma haujui hata picha haulion
Sungura nipe karoti maharage nishazoea...

Msumari kwa nyundo nigonge
Monday to Sunday.

Dah hizi nyimbo zinanamna...
 
Huyo my wife wako yukoje?
Maana jana nilikua na goma moja kazi ya nje lisije likawa ndio hilo.
 
Ndio maana suala la kumiliki silaha linaweza kusababisha tatizo kwa familia,na sio kwa muhalifu........kama una mashaka piga chini
 
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Mkuu umechapiwa. Hivi roho ya uvumilivu wengine huwa mnaitoa wapi? Mie asipopokea simu tena kwenye mazingira tata kama hayo ugomvi wake si wa nchii hii. Anyway pole mkuu.
 
Wanawake hawa weee acha tu yan, unampa kila kitu lakini bado anataka kupigwa nje. Hata kwenye game unapigana vilivyo lakini wapi

Hivi kwanini watu wasiwe waaminifu kwenye ndoa zao
 
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Kaliwa tena tigooo
 
Demu wako kakamuliwa ya hela yote baba la baba, saa nne ndo muda wa kusign out guest. Pole vumilia tu nawe tafuta mnyonge umchapie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom