PostGE2025 D9 imeleta taharuki ya Mafuta, usafiri, vyakula & Condoms

PostGE2025 D9 imeleta taharuki ya Mafuta, usafiri, vyakula & Condoms

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Vipi kuhusu watalii wetu na ile royal tua ama na watakujaje sasa maana si tuliwakaribisha na sahivi wote wanasepa. Hivi mmesema pesa mnazo za kuwatosha kama nchi ama? Alafu sasa mkaenda na kuwafokea who are you tena, kwahiyo wakati wa royali tua sasa wao ndo walikuwa who were they ama ndo tunasemaje hapo?
Ngoja na mie niulize, what was royalitua?
 
1764968853902.png
 
wavimba_20251206_072626_0000.png
Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
 
Back
Top Bottom