Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa Rais hataki kuongoza miaka saba lakini wao wanataka kwakuwa wana haki ya kutoa maoni yao kama wananchi.
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amelitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya mabadiliko ya vipengele vya Katiba ili iweze kumuwezesha rais kutawala kwa muda wa miaka saba.
“Rais Dkt. Magufuli alishasema hataki miaka saba. hata juzi karudia tena kwamba hataki lakini sisi tunataka miaka saba, na tunaliomba bunge libadili Katiba,”amesema Nyamagambile
Hata hivyo, ameongeza kuwa Rais Magufuli ni wa mfano wa kuigwa Afrika kwa yale anayoyafanya kwani wengi wameshindwa lakini yeye ameweza.

Watu km hawa wanatakiwa kupimwa MkojoHivi huyu ndie Cyprian Musiba aliyekuwa akitangaza Chanel Ten au naona vibaya? Ameishiwa akili namna hii??
Baada ya kufukuzwa Ifunda, alitumia cheti cha mtu kuingia JWTZ. Na huko JWTZ hakukaa muda mrefu. Alifukuzwa.Obeid mlaga kati ya viongozi wavuta bangi miaka ya 1990's tulimpokea pale ifunda na kukaa mabweni ya seuta na mirambo.. huyu hakumaliza shule kwa kumpiga mwanafunzi mwenzake kutokana na bangi zake... binafsi simjui kwa jina hili la sasa...
Aliishia form two, akabadili kwa kutumia cheti cha form four cha ndugu yake wa huko Mara. Alifunga ndoa Mali alimtolea Rais mstaafu Jakaya Kikwete. Wakati akiwa anafanya kazi Magic FM na Channel Ten alikuwa anajigamba kuwa ni usalama wa Taifa.
Kwa sasa anamiliki gazeti la Tanzanite ofisi zake zipo jirani na Mesuma hotel Kijitonyama.
Miaka 2 tu hatuna hamu naye na bado 3 ya shiida na taabu?!!?!!Halafu mwendawazimu mmoja anataka iwe 7...??????No way!Aongoze miaka saba kwalipi hasa alilolifanya?
Ni wakati wa kuchimba CV yake kama alivyochimbwa boss wake Maliyamungu BashiteBaada ya kufukuzwa Ifunda, alitumia cheti cha mtu kuingia JWTZ. Na huko JWTZ hakukaa muda mrefu. Alifukuzwa.
hapa tu watanzania wanataka uchaguzi hata kesho lakini CCM wasifsnye uchakachuaji waone matokeo yake.Miaka 2 tu hatuna hamu naye na bado 3 ya shiida na taabu?!!?!!Halafu mwendawazimu mmoja anataka iwe 7...??????No way!