Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

sizonje yuko nyuma ya hawa wapuuzi,jamaa atagoma kuachia kiti yule...cheea uswahiba na mnyarwanda dikteta!!!
 
Zamani nilikuwa nikiona watu wakubwa wenye vipara kama huyu nawaheshimu kweli nikiwachukulia kama binadamu wenye akili na hekima nyingi..but not now,even comedians wana vipara.
 
Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa Rais hataki kuongoza miaka saba lakini wao wanataka kwakuwa wana haki ya kutoa maoni yao kama wananchi.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amelitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya mabadiliko ya vipengele vya Katiba ili iweze kumuwezesha rais kutawala kwa muda wa miaka saba.

“Rais Dkt. Magufuli alishasema hataki miaka saba. hata juzi karudia tena kwamba hataki lakini sisi tunataka miaka saba, na tunaliomba bunge libadili Katiba,”amesema Nyamagambile

Hata hivyo, ameongeza kuwa Rais Magufuli ni wa mfano wa kuigwa Afrika kwa yale anayoyafanya kwani wengi wameshindwa lakini yeye ameweza.

lakini sisi tunataka miaka saba, na tunaliomba bunge libadili Katiba,”amesema Nyamagambile-
sijui anaposema "SISI" ana-refer akina nani haswa?
 
Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa Rais hataki kuongoza miaka saba lakini wao wanataka kwakuwa wana haki ya kutoa maoni yao kama wananchi.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amelitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya mabadiliko ya vipengele vya Katiba ili iweze kumuwezesha rais kutawala kwa muda wa miaka saba.

“Rais Dkt. Magufuli alishasema hataki miaka saba. hata juzi karudia tena kwamba hataki lakini sisi tunataka miaka saba, na tunaliomba bunge libadili Katiba,”amesema Nyamagambile

Hata hivyo, ameongeza kuwa Rais Magufuli ni wa mfano wa kuigwa Afrika kwa yale anayoyafanya kwani wengi wameshindwa lakini yeye ameweza.

Huyo Musiba atakuwa anawashwawashwa.
 
Hivi kauli ya Rais si ni sheria? Rais alishakataa kuwa hana mpango wa kuongeza kipindi cha urais na kuwataka watu wafunge mjadala. Sasa hao wanaondelea kuwashwawashwa kwa nini wasishitakiwe kwa uchochezi.
 
Sasa anasema wao wanahaki ya kusikilizwa..mbona viongoz automatic wananchi wengine hawasililizwi ?..kama tukipeleka matakwa yetu hapo bungeni...hapata kalika...waache utani na hisia za watu...
 
Huyu musiba ni kichefuchefu mpira hajui na siasa hajui tena kapendeza sana kuwa ccm ndio watu wanaopendwa huko aliko,
 
Kuna watu wenye weledi zaidi ya huyo mtukufu hivyo hii mbuzi isitake kutuaminisha kwamba katika watanzania MIL. 45 mtukufu ndio mwadilifu na mwerevu
 
Mnapingana na Rais kwenye mambo yasiyo na maslahi kwa taifa labda kwake!...pale anapokosea mnamuunga mkono miamia. Ndipo Nyerere alipowaita malofa. Ya burundi mnatuletea hapa nanyi mnajiita vijana wasomi? Aibu sana bora mhamie brundi mkafanye hayo.
 
Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa Rais hataki kuongoza miaka saba lakini wao wanataka kwakuwa wana haki ya kutoa maoni yao kama wananchi.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amelitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya mabadiliko ya vipengele vya Katiba ili iweze kumuwezesha rais kutawala kwa muda wa miaka saba.

“Rais Dkt. Magufuli alishasema hataki miaka saba. hata juzi karudia tena kwamba hataki lakini sisi tunataka miaka saba, na tunaliomba bunge libadili Katiba,”amesema Nyamagambile

Hata hivyo, ameongeza kuwa Rais Magufuli ni wa mfano wa kuigwa Afrika kwa yale anayoyafanya kwani wengi wameshindwa lakini yeye ameweza.

Hii hoja niyakimkakati wa CCM wote
Na hili kuna uwezekano mkubwa sana maraisi waliopita wanaliunga mkono

Kama mnakumbuka kipindi cha vugu vugu la katiba mpya kikwete alitaka aicheleweshe hadi miezi ishirini na nne ili wabadili katiba aendelee kuongoza zaidi baada ya siri kuvuja watu wakapiga kelele sana akaona apotezee na katiba ikatupwa kule

Hiki chama ni zaidi ya ukijuavyo
Viongozi wakubwa wa taifa hili wanaona kifo cha Ccm kipo karibu na kama ikatokea Ccm ikakosa kutawala waishi maisha magumu sana sio wao tu buli na vizazi vyao

Makampuni mengi tu makubwa wanashare na mengine wanamiliki wao

Ili kuendelea kula mema ya hii nchi wanaona bora wacheze na katiba.

Tutaona mengi sana na kwa kiasi kikubwa watafanikiwa coz hela kwa sasa wanayo nyingi na watanzania wengi wananj'aa

Mungu tuepushe na huu ubabe
 
Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa Rais hataki kuongoza miaka saba lakini wao wanataka kwakuwa wana haki ya kutoa maoni yao kama wananchi.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amelitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya mabadiliko ya vipengele vya Katiba ili iweze kumuwezesha rais kutawala kwa muda wa miaka saba.

“Rais Dkt. Magufuli alishasema hataki miaka saba. hata juzi karudia tena kwamba hataki lakini sisi tunataka miaka saba, na tunaliomba bunge libadili Katiba,”amesema Nyamagambile

Hata hivyo, ameongeza kuwa Rais Magufuli ni wa mfano wa kuigwa Afrika kwa yale anayoyafanya kwani wengi wameshindwa lakini yeye ameweza.

Huyu analiwa kiboga.
 
Eti mkurugenzi mkuu!!!!!!!!khaaa :(:(
 
Back
Top Bottom