Cycles zako JF

Wazee wa hovyo.. Vijana wasiiogopa😂
Your browser is not able to display this video.
 
Ila Gran pah kwa kupenda kutibua mambo uko vizuriii, afu huwa unaanzia mbalii sana. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Khaaaah!! Mabwakuuu.
Kumbe Hii ndio Dis enyewee??

Afu mbona sijawahi kujificha humu ndani, niko winja winja na leleleleee, na bwana nikawa nae na alinitambulisha wazi wazi humu jukwaanii.

Sio yeye kutwaa kumfata PM Bwana, eti huyo coca anakupa nini hadi umelewa hivyo, tena asubuhi hata hajaamka kwenda kazini. Na PM zote alikua ananioneshaa [emoji23][emoji23][emoji23]

After then wakaandaa group la kutaka kunipindua, mnyaki wa watu wakampanga eti nae kujifanya juu wakati hapa JF nilimpokea mie, na mie ndo nilimsarandia kwa mtu akamkataa hamtamki diploma, anataka Degree [emoji23][emoji23][emoji23]

Bas alivyoona kuna lecturer wa course yangu si akajifanya kumfata kumuuliza km ananifahamu, mwenzake akamktalia simjui na sidhani hata yeye km ananijua, wakati mie namjua ila yeye hanijui.

Eti alikua ana muambia amsaidie kumsomesha, akamgomea [emoji23][emoji23][emoji23]
Na kundi likarapaganyikaa , jamaniiiii

Kiuno kigumu ndio hicho kilichomteka Ex wake, na akaja kwanguuu.

Afu hii naimudu bhanaa, waje na segment mpyaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…