Hehe unaonyesha wazi kua hujui unachokiongea, do you actually think utaenda kujifunza JavaScript na Php siku mbili tatu urudi hapa kujaribu stupid hacks? Keep on dreaming. Kusoma a programming language takes years to reach a level ambayo unaweza jiita expert, na bado kujaribu kupata security vulnerabilities you'll have to try even harder, utaanza kujifunza database, hawa wanatumia MySQL, na yenyewe usidhani you can just go in and attack, jamaa hawana loophole kwenye mysql attacks hata kidogo, hizo attacks zinawapata beginners tu siku hizi. Utahitaji pia kujifunza information security, hapo Algorithms lazima ukaze buti na upitie linear algebra na calculus kidogo, ujifunze networking, operating system, miaka kama minne hivi au zaidi kabla ya kuanza kufanya anything significant.
These guys wanapata so many attacks per day zaidi ya unavyofikiri, na they are still surviving. Ndiyo kwanza unataka uanze kujifunza programming, hehe you won't catch up, tafuta hobby nyingine ya kufanya. Labda ujifunze kwa kua tu unataka kujua