Cyber security

Mkuu link zako ni za msing Sana sema watu wanazichukulia easy bila kuzisoma
Bro mimi nafikisha ujumbe tu kwa wenye interest wa take care ambao hawajali OK.Mudaa utafika tu watu hapa bongo wataanza kushambuliwa kama mchwa akili ndo zitashtuka
 
Ivi wadau mliosoma web programming JF kweli haina vulnerabilities yoyote maana na uchu nayo kinoma
 
unataka kupenetrate mkuu haha

Nimekutana na wanachuo wa dit Leo wameisifia sana Ila I didn't buy the shit.kila kitu kina weakness.Embu ngoja nitafute mudaa nizame training ya JavaScript,html5,php.Then tuichezee hii forum tuone inner workings zake
 
ni wazo zuri but wakiona watakupiga ban bro
 
Wanipige ban tu Ila haitanizuia Kuchunguza.Kuna post yangu waliifuta tyari kuhusu sniffing attack na cookie hijacking kipindi hcho hawana https session cookie zina flow tu bila encryption.Kama system IPO weak lazima ukweli ujulikane no matter yuko admin gani
 
Kama sijakupata vizuri
Vulnerability hyo cloudbleed bug ina led to leakage of session keys kwa website zote ambazo zinatumia cloudfare ikiwemo JF.Kuna proof-of-concept code najaribu kui modify I suit specific pre conditions ila naona wameshai patch isuue tyari
 
Back
Top Bottom