Cyber security

Cyber security

ningependa kufahamishwa namna ya kuficha my ip address, naamini hilindio jambo la msingi kabla ya mengine kufuata.......

Iwapo haulipii service ya Static IP adress,ambayo inakua personal mpaka utakapostisha malipo,Hakuna haja ya kuficha IP adress uki disconnect device yako ISP wako atakupa IP adress na ulotumia kufanya mambo yako atapewa mwingine 🙂

Ila kama unataka hilo haina shaka waweza kutumia Opera Browser au VPN browser extensions e.g Dot VPN for chrome au Free VPN apps za OS yako zipo nyingi uki google utaona!
 
ningependa kufahamishwa namna ya kuficha my ip address, naamini hilindio jambo la msingi kabla ya mengine kufuata.......

Kwenye simu au PC bro ?The best anonymization nayoijua Mimi ni Tor.It encrypts your communications and bounces them through a series of relays.Very effective.Ila browsing habit nazo utahitaji Uzi change ili anonymization ya TOR ikae vzuri
 
Kwny PC mkuu
 
Kwa watu Wote ambao wako interested Na virus,worm Trojans AndroidRAT, botnets,ransomware Na all in all cyber security waweza changia lolote ulilonalo hapa ndani tuka discuss Na kujadili

What is the fate of IT industry in Tanzania as far as cyber security is concerned?
 
What is the fate of IT industry in Tanzania as far as cyber security is concerned?
Kuna two possible scenarios hapo.If we create an IT environment with aware security and full implementation then we can save a lot of cash lost due to cyber attacks.If we fail in proper implementation tutapoteza Ela Sana na haita attract investors wowote
 
Mi nilijua thread hii imeanzishwa kwa lengo la kujifunza kumbe na matusi juu. Tujaribu basis kuweka heshima kwa wazazi wetu jamani. Kama lengo ni kujifunza tujikite katika kujifunza na kushauriana
 
Mi nilijua thread hii imeanzishwa kwa lengo la kujifunza kumbe na matusi juu. Tujaribu basis kuweka heshima kwa wazazi wetu jamani. Kama lengo ni kujifunza tujikite katika kujifunza na kushauriana
Hii ni thread kwa ajili ya ku post Link za latest Best Hacks,kutoka katika tovuti maarufu kwa habari hizo,ambazo wamefanya wenzetu na kubaki kuzi appreciate tu.
 
Mirai source code available to all.Nafumaini wengine watajifunza namna ya kutengeneza DDOS bots.Ingawa it was meant for IOT Ila basic concepts za CNC na loader ni the same
 
Attachments

Mi nilijua thread hii imeanzishwa kwa lengo la kujifunza kumbe na matusi juu. Tujaribu basis kuweka heshima kwa wazazi wetu jamani. Kama lengo ni kujifunza tujikite katika kujifunza na kushauriana
Ethics politics blah blah blah ahsante kwa ushauri wako.Ila nini toa news baadala ya ushauri wa kimaadili
 
Back
Top Bottom