Cyber security

Cyber security

Hahaha bullshiit

Hahaha we jamaa fala kweli I've been there nime exploit vulnerabilities nyingi kuliko umri hata wa mama ako.Buffer overflow,heap overflow,stack smashing,ASLR avoidance I've done them alf ndo kwanza na miaka 17.cjui nani kakuambia kuwa Mimi ndo naanza kujifunza programming.Nimetengeneza rootkits kibao tu ive messed with the system deamons do you even now whats a daemon bro ??Naanza kujifunza php na JavaScript kwasababu ckuwa interested na web.But now I'm charged up.Eti inachukia miaka mingi kiss my dick wewe unadhani kila mtu Ana IQ kama ya baba yako old school.Kweli ww Graph theory.

unaweza upload baadhi ya kazi zako Bro kwenye moja ya project hosting site,kama hauto Mind?
Nipo interested kuona likely na mm naweza jifunza vitu kutoka kwako!
 
Nikupe link ya site kisha uingie kwenye database na utuletee credentials mkuu, technician tufanye kwa vitendo sasa tuache hadithi.

Ukiweza hili nitakuomba msamaha humu jamvini kwa kukuita Scriptie Kiddie.
Halafu mijadala ya humu usiwahusishe wazazi wao hawahusiki nimekusoma hapo juu unamjibu Graph unatukana hadi na wazazi!
Tumia kauli nzuri mkuu humu tupo kujifunza na kuelimishana hata kama tunatofautiana kimawazo sio akili na tena sio sawa kutumia lugha za matusi.
LUGHA ZA MATUSI NI SILAHA PEKEE KWA WATU AMBAO NI MASKINI WA FIKRA.
 
Bro am not a web developer.The only reason nimejifunza hzo language ni ili ku identify vulnerabilities tu.Mengine kwangu sina interest
 
shit doesn't work that way bro.Mimi sitaki hcho ki website chako naitaka Jamii forums
 
Bro am not a web developer.The only reason nimejifunza hzo language ni ili ku identify vulnerabilities tu.Mengine kwangu sina interest
Mm naongelea hiyo sehemu ulosema wewe ni expert maana nshajua kwenye Web development hauko interested nataka kuona hizo rootkits etc ulizosisema kwenye comment nilo quote...I mean the source code
 
Hahaha bullshiit

Hahaha we jamaa fala kweli I've been there nime exploit vulnerabilities nyingi kuliko umri hata wa mama ako.Buffer overflow,heap overflow,stack smashing,ASLR avoidance I've done them alf ndo kwanza na miaka 17.cjui nani kakuambia kuwa Mimi ndo naanza kujifunza programming.Nimetengeneza rootkits kibao tu ive messed with the system deamons do you even now whats a daemon bro ??Naanza kujifunza php na JavaScript kwasababu ckuwa interested na web.But now I'm charged up.Eti inachukia miaka mingi kiss my dick wewe unadhani kila mtu Ana IQ kama ya baba yako old school.Kweli ww Graph theory.

Mkuu umeniita fala, umemtukana mama, baba, "kiss my dick" yote ya nini? We kuambiwa ukweli kua its hard ndo unapata presha?

Hehehe ati umeexploit buffer overflow, heap overflow, unajua watanzania hua mnakaa mkijua tu kugoogle kidogo mnajihisi mko better than watanzania wengine wote, mnahisi kila mtanzania kwenye tech ni kilaza, au kwa kua wengine tunaingia JF then unahisi hatuna kazi. Stupid. Sitokutajia CV yangu hapa maana its too much information, we endelea kutamba na ujinga wako.

Em tueleze hiyo buffer overflow ume~exploit vipi na ilikusaidia nini, njia ya kumjua anayegoogle na anayejua kweli anachoongea ni rahisi sana.

Do you even know what are system deamons? Hehehe wtf! Mtoto umekula nini?
 
Secure Messaging App 'Confide' Used by White House Staffers Found Vulnerable

When a security apps is itself not secured it just makes you ask yourself what is and is not secure now days?It almost feels as if given the right amount of time and resources everything can be hacked even the human brain itself(hahaha apo kwenye brain natania tu najua Kuna watu humu ndani wana MA za psychology.Msije mkaanza kunirukia bure)
 
Back
Top Bottom