Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 149
Mmekosa Strategies, tarehe moja na tarehe tatu katika level ya shule ya msingi hakuna gap hapo. Shule hazifungwi Kama Duka, shule zinafungwa kama genge ndugu yangu hayao madarasa ya mtihani kwani hayatohitaji kuhesabiwa?!!, hao walimu watakao fundisha hayo madarasa hawataki kale ka-ulaji ka sensa?!!.acha umbea uliza kwanza sio unakurupuka Shule zinafungwa tarehe 3-8-2012, afu KUMBUKA Shule hazifungwi Kama Duka hata wakati wa likizo kazi huwa zinaendelea coz kuna madarasa ya mitihani, na zamu zipo Kama kawa