Mbona MADAI yako wazi kabisa ni haya:-
1. Kulipwa kwa kwa MADAI ya walimu ambayo ni pesa ya kujikimu,likizo, malimbikizo ya mishahara, na pesa ya KUPANDISHWA Madaraja pamoja na vyeo
2. Kulipwa pesa ya nyumba au kupatiwa nyumba Kulipwa gharama za usafiri au kupatiwa usafiri
3. Kulipwa posho ya kufanya kazi ktk mazingira magumu hii ni kwa walimu walioko ktk mazingira magumu.
4. Kulipwa posho ya kufundisha "teaching allowance"
5. KUPANDISHWA kwa KIWANGO CHA mshahara at least kilingane na watumishi ktk Kada zingine.
6. Kuboreshewa mazingira ya kazi ikiwemo kupata vifaa vya kujifunza na kufundishia ka vitabu, madarasa, maabara
7. Kurekebishwa kwa Sheria za kazi kandamizi zinazomuumiza mwalimu Kama sera ya KUJIENDELEZA KIELIMU na MASLAHI
8. Kupunguzwa kwa KIWANGO CHA kodi PAYE