dorge
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 235
- 365
Nini maana ya kuchanga, kutoa michango.
Kwa kawaida michango ikitoka kwa wanachama linafwata jambo lingine. Matumizi ya michango kwenye malengo mliojiwekea.
Hii cwt nilianza kuisikia miaka nenda rudi. Je haijafikia lengo? Je wanachama wanaendelea kuchanga? Kwa nini hawakomi kuchanga na kwanini hawapati nafuu ya michango wanaendelea kukatwa bila ridhaa Yao? Hakuna uhuru wa kuamua kuendelea au kutoendelea, hapa HAKUNA UTAWALA BORA. ni muda mrefu mtu anachangia bila maelezo na uwezo wa kukatwa
Ni watu wengi wamepata kusikia kashfa mablimbali za ufujaji wa fedha za chama. Kwa hiyo inamaana kuna watu wanazitokea macho na kuzitafuna.
Kwanza zimefika shilingi ngapi?
Zinafanyia biashara gani?
Mapato na matumizi yanatolewa wapi?
Matumizi yake ni yapi?
Kuna miradi?
Nani anaifanya auditing?
Maswali ni mengi. Wanaohusika waamke. Mwl anayekatwa 40,000 kila mwezi ni walimu wangapi wanakatwa fedha hiyo nchi nzima?
HAKUNA UTAWALA BORA.
Ni lazima mwajiri angeweza kumsaidia mtumishi asinyanyaswe na wajanja wachache vinginevyo hakuna haki.
www.jamiiforums.com

Mshahara wa mwalimu unavyotafunwa CWT
Na Thadei Ole Mushi. Walimu wa nchi hii asilimia 90 uliwaambia kwa nn Viongozi wa CWT huwa wanapigana wenyewe kwa wenyewe hawawezi kukuambia na wala hawajui chochote. Nataka leo usijiulize tena kwa nini wanapigana na kupelekana mahakamani kila siku…. Twende sawa na ripoti hii ifuatayo:- 1...