Cv za wake za watu!

Cv za wake za watu!

Wee, huo ugali uje kwa njia halali banaa.... Yaani we ugegedwe in the name of ugali kuingia kwa nyumba.... NO WAY..... Ugali wa hivyo labda uupeleke kwenu.

Mbona umeenda mbali Mkuu? Kwani kufanya kazi ni kugegedwa? Au unamaanisha kama sisemi married nna maana nataka kudegedwa? Punguza wivu.....
 
Kaka haupo sahihi kusema mtu kuandika marital status kwenye resume ni ufoolishness, u know sio wote wanajua kaundika hizo vitu, kwa mfano mimi sijui hata barua ya kuomba kazi inafanana fananaje, nimekuwa mjasiriamali tangu nipo darasa la saba na sitegemei kuajiriwa in recent 200 years to come, so do not be surprised na kitu kidogo kama hicho.

Thank you!.....
 
Jamiiforums ni darasa tosha, Nyani Ngabu nakubaliana na wewe kabisa hakuna ulazima wala mantiki ya kuweka Jinsia, sex orientation, dini, kabila au marital status kwa sababu hazina uhusioano wa moja kwa moja na utendaji wa kazi. Ila umri nadhani ni muhimu kumwezesha mwajiri kujipanga muda alionao kukunyonya baasi!!

Hebu ona hizi resume dos and don'ts

DON'T INCLUDE PERSONAL INFO

Personal information does not belong on a professional resume. Do not include your age, marital status, race, hobbies, or political affiliation on your resume. DO PROOFREAD. There is nothing worse than a resume filled with typos, grammatical errors, coffee stains, or printing problems. This resume represents your career in one critical document -- take the time to review it carefully before sending it out.

Resumes Do's and Don't

What not to put on your resume

1. Personal information. The only personal information required on a resume is your contact information. This means your address, email, and phone number. Anything else is irrelevant and unnecessary. Do not include your age, race, gender, political party, religion, etc. These items do not belong on your resume.

Source

CV nyingi ziwe za Ke/Me zina vigugumizi, ninapofanyia kazi hata kama hujaolewa au kuoa unaandika umeolewa ili mradi mpenzi ulienae apate bima ya matibabu. so hao wanaoandika single nina mashaka na company wanazofanyia kazi.
 
Ngoja kwanza...yaani unaandika tu kuwa uko kwenye ndoa na inatosha? Hakuna haja ya kutoa uthibitisho wowote unaotambulika kisheria? Na huyo mpenzi wako yeye hana kazi au huko kazini kwake hawatoi health insurance hadi umweke kwenye plan yako?

Na kwanza resume ni ya kuombea kazi tu. Sasa iweje mambo ya bima yaingie katika mlinganyo ilhali unapotuma unakuwa hujui kama hata watakupigia simu wa set up interview na wewe?

Manake katika hali ya kawaida hayo mambo ya health insurance, dependents wako, and whatnot huwa yanakuja baadaye kabisa baada ya wewe kupewa offer na kuikubali.

Bado nasema marital status kwenye resume ni unneeded unless you are applying to be a cast member of some not so reality tv show named The Real Housewives of somewhere....
 
Hakuna umuhimu wowote wa kuweka marital status kwenye CV. Kama unaona marital status yako ni relevance kwenye hiyo kazi unayoomba, basi fafanua kwenye kwenye covering letter.

Kwa mfano, kama moja ya skills zinazohitajika ni kuwa flexible, uwezo wa kusafiri mara kwa mara, kufanya kazi in unsociable hours, au kufanya kazi sehemu ambazo ni very remote, then unaweza kutumia single status yako kwa kufafanua kwenye covering letter kuwa huna family commitments, so you can do either of the above.

Kama haupo single unaweza kuitumia status yako kuonyesha your stability and loyalty to the prospective employer as well as how you can accept and carry out responsibilities, working in a team, etc. Hii ni kwa wale ambao hawana experience ya kazi kuonyesha hizo skills.

At the end of the day it is how you can turn your marital status kuwa beneficial to the prospective employer. Lakini kuitaja tuu kwenye CV haitasadia chochote hasa kwa mwajiri makini. Maana unaweza kuwa single na usiwe flexible, married na usiwe stable, loyal or even responsible.

Hata hivyo, save to limited exceptions, ni kinyume na sheria kwa mwajiri kutokumwajiri mtu kwa sababu tuu ya marital status yake.

Lakini kwa bongo na hasa kwa wanawake wakitaka kazi sometimes inawabidi wadanganye marital status yao. Wengi wao wanaona ni sawa kabisa kudanganya hasa pale wanapoungwa mkono na baadahi ya wanaume kwa minajili ya kuendeleza mfumo dume. Kwa hawa women emancipation is a myth.
 
Kaka haupo sahihi kusema mtu kuandika marital status kwenye resume ni ufoolishness, u know sio wote wanajua kaundika hizo vitu, kwa mfano mimi sijui hata barua ya kuomba kazi inafanana fananaje, nimekuwa mjasiriamali tangu nipo darasa la saba na sitegemei kuajiriwa in recent 200 years to come, so do not be surprised na kitu kidogo kama hicho.

Sasa kama hujui hata barua ya kuomba kazi inafananaje, ukiwa kama mwajiri uatakuwa unaajiri wafanyakazi kivipi?

Au wajarisimali hawaajiri in 200 years to come?
 
Hakuna umuhimu wowote wa kuweka marital status kwenye CV. Kama unaona marital status yako ni relevance kwenye hiyo kazi unayoomba, basi fafanua kwenye kwenye covering letter.

Kwa ujinga uliopo Tanzania sitashangaa kama kuna watu wanaoweka kwenye resumes zao makabila yao, political party affiliation, na nani walimpigia kura (kwenye urais) katika uchaguzi uliopita!

Halafu eti kuna watu huwa wanaambatanisha na passport size photos....save for modeling or acting jobs, picha unaambatanisha na resume yako kwa nini?

Ujinga mtupu.
 
Kwa ujinga uliopo Tanzania sitashangaa kama kuna watu wanaoweka kabila, political party affiliation, na nani walimpigia kura (kwenye urais) katika uchaguzi uliopita!

Wengine wanaweka - Marital status: Complicated.

Ukisoma CV nyingi za Watanzania utaishia kuziweka kwenye bin zote.
 
Unless the company or orgnziation has the vacancy which demand high stereotyped responsibility. ( which desccribe or rather has subjective view about potential candidate. Marital status is monor espcially when there is nothing like employement benefits. There is no concern on Marital stautus on recruitment. but when it come on the issue of family benefits,a and other social security issues marital status is paramount. The point of being employed easly is relative.
 
Nyani unaandika kama vile hizo standards uliziweka wewe. Sasa ujinga mkubwa sana wa kuweka hiyo hali ya kindoa ni nini?? Kaka si kila unalodhani ni sahihi kwako lazima liwe sahihi kwa wengine.
 
CV nyingi ziwe za Ke/Me zina vigugumizi, ninapofanyia kazi hata kama hujaolewa au kuoa unaandika umeolewa ili mradi mpenzi ulienae apate bima ya matibabu. so hao wanaoandika single nina mashaka na company wanazofanyia kazi.

Hahaahhahahah! Kwa bold hapo niliumbuka one day, enzi hizo na date na Preta, nikajilipua nimeoa na nina watoto wawili, LOL, on the spot nikatakiwa kuleta cheti cha ndoa na birth certificates, tangia hapo sithubutu kabisa!!!
 
Last edited by a moderator:
CV/Resume haitakiwi kuwekwa vitu kama marital status, hobbies, race, date of birth, nationality etc.
Nashangaa na hadi leo sijajua ni sababu zipi zinazowafanya watu ku-include hivyo vitu wakati havitakiwi katika CV/Resume.
Tuelimike
 
I wish to know hizo details ulizotoa mpaka % ulizifanyia wapi research au feasilibility study? Japo from my experience makampuni mengi binafsi wana prefer zaidi kuajiri watu ambao ni single when it comes to women ili tu kuweza kuepukana na unnecessary excuses from work when their staff becomes pregnant coz pregnancies mpaka delivery takes time na huwa inaathiri sana performance ya mtu kazini plus days off nyingi etc.
 
Hiyo sio kweli na hakuna sheria kama hiyo. Hapo ni kuleta stereotypes na discrimination against marital status.
Kila employer anatakiwa awe EOE
 
we ni afisa muajiri wa kampuni gani tuje kuomba kazi Mtoa Mada
 
Last edited by a moderator:
ngoja nitume cv yangu asee

Neene:ngati mwenyee dadii aniitili kadala
Mau:kachiki
Daadi:kadoda
mngana:si mwenye yule pasiko wa pale kumfaranyaki
lihengu:mtumishi lejio maria
uzoefu:ngati kila dominika nihudumiii kweeli ku misa,kuimba kweeeli nyimbo za Mama
shule:ku perahamiho kula kwa baba buruda wenyee mwaka nikosiwi neene
cc Fixed Point, Mzee tupatupa kipipi moto2012 na wengine wooote wenye mapenzi mema
bila kumsahau my gal Kaunga
Mbanga wa njangu umali kuniyelewa... Kuna vandu vangi bilu kuvabaka makisira au pangi sobola kumihu wala viva he ni akili
 
Back
Top Bottom