Cv za wake za watu!

Cv za wake za watu!

Halafu nyie watu mmefundishwa wapi kuandika hizo resumes ambazo mnaweka marital au relationship statuses zenu?

That's just so unprofessional.
Kiranga come see this foolishness.
 
Ili wajue kama ni medical, itakava wangapi.... usijitoe akili banaa...

Halafu, hivi hiyo unayoiita "medical" ni voluntary au mandatory? Na kama ni mandatory, je, kuna employee deductions zozote?

Na hivi UDSM wanafundisha wanafunzi wao wale wa mwaka wa mwisho namna ya kuandika resumes? Maana'ke nashangaa sana details ambazo watu mnadai zinawekwa kwenye hizo resumes.

Eti marital status...what the freak that got to do with anything about the job I'm applying for? Good grief!!!!
 
Halafu nyie watu mmefundishwa wapi kuandika hizo resumes ambazo mnaweka marital au relationship status zenu?

That's just so unprofessional.
Kiranga come see this foolishness.

Kaka haupo sahihi kusema mtu kuandika marital status kwenye resume ni ufoolishness, u know sio wote wanajua kaundika hizo vitu, kwa mfano mimi sijui hata barua ya kuomba kazi inafanana fananaje, nimekuwa mjasiriamali tangu nipo darasa la saba na sitegemei kuajiriwa in recent 200 years to come, so do not be surprised na kitu kidogo kama hicho.
 
Mazee kwa bongo nafikiri that is the norm. Nilishawahi kuuliza umuhimu wa hili ni nini? Watu wanaenda kazini kufanya kazi au kuchumbia?

Sijajibiwa!

Actually kwa watu walio sensitive kwa mambo ya discrimination, na wanaojua information security na "need to know" basis disclosure, wanaweza kukwambia kwamba kuweka hizi habari katika resume kunazidisha uwezekano wa "marital status discrimination".

Bosi anaweza kuwa baradhuli, anataka kuwafanya mbaya wafanyakazi wa kike, ana anachagua wasioolewa zaidi.

Au bosi anaweza kuwa hataki wasioolewa kwa sababu zake, akawakosesha kazi kwa sababu zilizo nje na za kikazi.

Lakini bongo tuko tofauti sana nimegundua, habari nyingine ukiwa bongo unona si big deal lakini ukitoka nje ndo unaweza kuona kama issue.
 
What the hell are you talking about?

Ni kampuni gani hizo ambazo huomba marital status kwenye resume ya muomba kazi?

Lazima vitakuwa ni hivyo vikampuni vyenu mbuzi na vya kijinga huko tambuka reli kwa sababu hakuna kampuni ya maana inayoweza kumuomba mtu habari ambazo hazihusiani kabisa na kazi aitakayo.

Na kama unazungumzia medical benefits, huo ni uamuzi wa mwajiriwa kuhusu nani amweke kwenye list ya covered dependents wake na nani asimweke.

It's just so stupid. Honestly, one of the most stupidest thing I've ever heard.

Hapo kwenye BOLD....???????????????????????????????? kwa hiyo anaweza akasema mtoto wa kwanza asiwepo lakini mkeo awepo na mtoto wa tatu awepo...????
 
Halafu nyie watu mmefundishwa wapi kuandika hizo resumes ambazo mnaweka marital au relationship status zenu?

That's just so unprofessional.
Kiranga come see this foolishness.

Mazee kwa bongo nafikiri that is the norm. Nilishawahi kuuliza umuhimu wa hili ni nini? Watu wanaenda kazini kufanya kazi au kuchumbia?

Sijajibiwa!

Actually kwa watu walio sensitive kwa mambo ya discrimination, na wanaojua information security na "need to know" basis disclosure, wanaweza kukwambia kwamba kuweka hizi habari katika resume kunazidisha uwezekano wa "marital status discrimination".

Bosi anaweza kuwa baradhuli, anataka kuwafanya mbaya wafanyakazi wa kike, anachagua wasioolewa zaidi.

Au bosi anaweza kuwa hataki wasioolewa kwa sababu zake, akawakosesha kazi kwa sababu zilizo nje na za kikazi.

Lakini bongo tuko tofauti sana nimegundua, habari nyingine ukiwa bongo unona si big deal lakini ukitoka nje ndo unaweza kuona kama issue.
 
What the hell are you talking about?

Ni kampuni gani hizo ambazo huomba marital status kwenye resume ya muomba kazi?

Lazima vitakuwa ni hivyo vikampuni vyenu mbuzi na vya kijinga huko tambuka reli kwa sababu hakuna kampuni ya maana inayoweza kumuomba mtu habari ambazo hazihusiani kabisa na kazi aitakayo.

Na kama unazungumzia medical benefits, huo ni uamuzi wa mwajiriwa kuhusu nani amweke kwenye list ya covered dependents wake na nani asimweke.

It's just so stupid. Honestly, is the most stupidest thing I've ever heard.

Am sure haumaanishi brother, unless otherwise utakuwa umezaliwa mwaka 1995, mtu nkuandika marital status kwenye resume yake, unasema " THE MOST STUPIDIEST THING U'VE EVER HEARD!". Hujasikia kuhusu Waziri Mkuu wa Tanzania kusema wanao leta fujo wapigwe tu? na nyingine zinazo fanana na hizo? Brother please be serious even for just a second bhana barabara chee barabara chee!
 
Kaka haupo sahihi kusema mtu kuandika marital status kwenye resume ni ufoolishness, u know sio wote wanajua kaundika hizo vitu, kwa mfano mimi sijui hata barua ya kuomba kazi inafanana fananaje, nimekuwa mjasiriamali tangu nipo darasa la saba na sitegemei kuajiriwa in recent 200 years to come, so do not be surprised na kitu kidogo kama hicho.

Kama mtu hajui basi anauliza. Details za kuweka kwenye resume ni zile tu ambazo zinahusiana na kazi husika. Siyo kuweka details za ajabu ajabu kama marital au relationship status wakati kazi uliyoomba ni ya kuwa controller wa kampuni.

Kama wana hamu sana ya kujua kuhusu hayo basi wasubiri hadi watakapokupa hiyo kazi na mtaambizana kwenye water cooler small talk(s).
 
Hapo kwenye BOLD....???????????????????????????????? kwa hiyo anaweza akasema mtoto wa kwanza asiwepo lakini mkeo awepo na mtoto wa tatu awepo...????

Aiseee!! Hivi wewe unafanya kazi ya kuajiriwa kweli? Au umejiajiri mwenyewe?

SMDH!!
 
Am sure haumaanishi brother, unless otherwise utakuwa umezaliwa mwaka 1995, mtu nkuandika marital status kwenye resume yake, unasema " THE MOST STUPIDIEST THING U'VE EVER HEARD!". Hujasikia kuhusu Waziri Mkuu wa Tanzania kusema wanao leta fujo wapigwe tu? na nyingine zinazo fanana na hizo? Brother please be serious even for just a second bhana barabara chee barabara chee!

Anyway, kwa Tanzania sishangai sana maana ujinga unaendekezwa kuliko werevu.

Sasa sijui na picha zenu za passport size huwa mnaziweka kwenye hizo resumes? Na kilo zenu nazo huwa mnaweka? Kimo je? Na idadi ya watoto kama mnao huwa mnaweka pia? Idadi ya siblings je? Hobbies nazo mnaweka?
 
Kama mtu hajui basi anauliza. Details za kuweka kwenye resume ni zile tu ambazo zinahusiana na kazi husika. Siyo kuweka details za ajabu ajabu kama marital au relationship status wakati kazi uliyoomba ni ya kuwa controller wa kampuni.

Kama wana hamu sana ya kujua kuhusu hayo basi wasubiri hadi watakapokupa hiyo kazi na mtaambizana kwenye water cooler small talk(s).

Kaka hicho unacho kizungumzia hakipo aplicable hapa Tz , kwa Tz CV lazima ionyeshe jinsia, lazima ionyeshe na marital status, kuna baadhi ya kampuni na watu hutakiwa kusema hadi their sexuality oreintation
 
Ni lazima kwa mujibu wa nani au nini? Waajiri huwa wanaweka huo ulazima kwenye matangazo yao ya hizo nafasi za kazi kwamba utumapo maombo ni lazima uweke hali yako ya kindoa? Au sheria za kazi ndo zinasema ni lazima uweke hilo?

Na dhumuni la kutangaza mwelekeo wako wa kijinsia ni lipi hasa?

That is crazy.
 
Anyway, kwa Tanzania sishangai sana maana ujinga unaendekezwa kuliko werevu.

Sasa sijui na picha zenu za passport size huwa mnaziweka kwenye hizo resumes? Na kilo zenu nazo huwa mnaweka? Kimo je? Na idadi ya watoto kama mnao huwa mnaweka pia? Idadi ya siblings je? Hobbies nazo mnaweka?

Hadi sexual orientation
 
Ni lazima kwa mujibu wa nani au nini? Waajiri huwa wanaweka huo ulazima kwenye matangazo yao ya hizo nafasi za kazi kwamba utumapo maombo ni lazima uweke hali yako ya kindoa? Au sheria za kazi ndo zinasema ni lazima uweke hilo?

Na dhumuni la kutangaza mwelekeo wako wa kijinsia ni lipi hasa?

That is crazy.

Kuna kampuni waliwahi kutangaza nafasi za kazi, moja kati ya sifa ilikuwa ni lazima uwe mwanamke msagaji unayetamani kutoka lakini unashindwa au uliwahi kuwa na mahusiano ya kisagaji, so walio enda kwenye interview kulikuwa na kipengele kinacho wataka waelezee their sexual orientation.... Escort agency companies pia hufanya hivyo
 
Aiseee!! Hivi wewe unafanya kazi ya kuajiriwa kweli? Au umejiajiri mwenyewe?

SMDH!!
Vyovyote vile lakini ukweli ndo huo...
Mkubwa kinachoonekana ujinga TZ, si lazima kionekane hivyo kwingine (na kinyume chake).......
Mkubwa, ukumbuke kuwa hayo hayo makampuni huwa yanakuwa na family day. Kwamba kimsingi unatakiwa uende na familia yako.

Back
Top Bottom