ZABRONE JUSTINE
Senior Member
- May 19, 2013
- 122
- 23
Ha ha ha hahaaaaaaaa! hidimini umeamua kunchana live et! aya bhana mi naachana na hyo wangu mana mabango yamezd jaman?
Kama mtu hajui basi anauliza. Details za kuweka kwenye resume ni zile tu ambazo zinahusiana na kazi husika. Siyo kuweka details za ajabu ajabu kama marital au relationship status wakati kazi uliyoomba ni ya kuwa controller wa kampuni.
Kama wana hamu sana ya kujua kuhusu hayo basi wasubiri hadi watakapokupa hiyo kazi na mtaambizana kwenye water cooler small talk(s).
Vyovyote vile lakini ukweli ndo huo...
Mkubwa kinachoonekana ujinga TZ, si lazima kionekane hivyo kwingine (na kinyume chake).......
Mkubwa, ukumbuke kuwa hayo hayo makampuni huwa yanakuwa na family day. Kwamba kimsingi unatakiwa uende na familia yako.
Japo sikubaliani moja kwa moja na Nyani Ngabu, ila kuna baadhi ya maneno yake yana ukweli.
Mimi binafsi japo sio mwnamke lakini CV yangu haina Jinsia, Umri, marital status wala dini na nimeshafanya kazi na bado nipo kazini.
Umuhimu wa hayo mambo utakuja kwenye mchakato wa kutaka kuajiriwa ndio watakwambia jaza form zao na makabrasha mengine ambayo yatahitaji hizo taarifa. Lakini sio kuweka kwenye CV.
Wizara ya elimu inapoajiri walimu wanawake
suala la kupangiwa vituo vya kazi au kupewa uhamisho
linahusiana direct na kama ameolewa au la...
so wengi wanaomba uhamisho kwa kusema tu mumewe yupo mkoa fulani
na mashirika mengi ya ummah wanawake walioolewa hawapewi uhamisho wa nje ya mkoa
so....
Soma tangazo hili la kazi ( Downloads | Advertised Posts ) kwenye kipengele cha... NB: GENERAL CONDITIONS.... XVii, halafu uone unachokubaliana na huyo ndugu kuna siku utakosa kazi hivi hiviJapo sikubaliani moja kwa moja na Nyani Ngabu, ila kuna baadhi ya maneno yake yana ukweli.
Mimi binafsi japo sio mwnamke lakini CV yangu haina Jinsia, Umri, marital status wala dini na nimeshafanya kazi na bado nipo kazini.
Umuhimu wa hayo mambo utakuja kwenye mchakato wa kutaka kuajiriwa ndio watakwambia jaza form zao na makabrasha mengine ambayo yatahitaji hizo taarifa. Lakini sio kuweka kwenye CV.
Halafu nyie watu mmefundishwa wapi kuandika hizo resumes ambazo mnaweka marital au relationship status zenu?
That's just so unprofessional.
Kiranga come see this foolishness.
He he he, utajuaje kama kaoa au kaolewa?
Lazima mtu ajipaishe!
Lakini mwisho wa siku... FOMU IMETAKA HAYO.... NA .... CV IMETAJA HAYO.... So what is the difference..???Hatupingi hizo habari kutolewa, tatizo ni katika hatua gani? Mfano makampuni mengine hawahitaji CV, ukitaka kuomba kazi kwao wanakwambia jaza formu kwa ajili ya maombi ya kazi, kama jinsia, umri, dini, marital status vinatakiwa hapo haina jinsi itabidi ujaze lakini sio kuandika moja kwa moja kwenye CV.
Na hii inapelekea watu wengine kutokujua kwamba hata kwenye interview sio kila swali linatakiwa kujibiwa hata kama lina dalili ya kuninyanyapaa.
Soma tangazo hili la kazi ( Downloads | Advertised Posts ) kwenye kipengele cha... NB: GENERAL CONDITIONS.... XVii, halafu uone unachokubaliana na huyo ndugu kuna siku utakosa kazi hivi hivi
CC
Nyani Ngabu
We sasa unakoelekea siko... Hivi hakuna njia ya kuverifai cheti cha ndoa..??? Afterall ni cha serikali, si cha dini wala kabila lolote....Labda wanaomba uonyeshe cheti cha ndoa. Na hata kama watakuomba, ukiwapa feki je? Watajuaje? Wana njia za ku-verify kuhusu hilo?
That's just so stupid.
Lakini mwisho wa siku... FOMU IMETAKA HAYO.... NA .... CV IMETAJA HAYO.... So what is the difference..???
We si umeseha huonyeshi jinsia ..??? nakunukuu sehemu ya post yako # 44 ... CV yangu haina Jinsia, Umri, marital status wala dini ...... mwisho wa nukuu. Ndo nikakupa mfano huo... ACHA UBISHI USIO NA MAANAxvii. Women are highly encouraged to apply
Sasa hapo ndio kasema uandike kama umeolewa au haujaolewa?
Kuomba uhamisho na kuajiriwa ni mambo mawili tofauti kabisa.
Unaajiri mtu kutokana na uwezo, ustadi, sifa, na weledi wake katika kazi aiombayo.
Ndoa, umri, mwelekeo wa kijinsia, urefu, rangi, dini, umbile, sura, na upuuzi mwingine kama hauhusu hata kidogo.
Sema tu kwa vile Tanzania inaendeshwa kijinga kijinga na si litigious society ndo maana ujinga umeshamiri hadi umekuwa norm.
Ingekuwa kwingine hayo ni ma lawsuits waiting to happen.
.... usisahahu kuwa CV ni habari binafsi.......Mkuu naona tunapishana sehem ndogo sana, ni lini hizo habari zinahitajika? nnachopinga mimi ni hizo habari kutumika kama kigezo mojawapo cha kunipatia kazi. Na sioni haja ya kuandika hizo habari binafsi kwenye CV yangu.
We sasa unakoelekea siko... Hivi hakuna njia ya kuverifai cheti cha ndoa..??? Afterall ni cha serikali, si cha dini wala kabila lolote....
.... usisahahu kuwa CV ni habari binafsi.......
Mkuu, kuna watu wao ni ubishi....wanawekewa link za ushahidi wa kinachosemwa bado wanabisha tuuu.... JAMANI KAMA HUNA DATA USISEME CHOCHOTE MAANA UTAKUWA UNASAMBAZA UONGO TUTmbelea link hii uone,KIJIWE CHA WASOMI: NAFASI ZA KAZI