We si umeseha huonyeshi jinsia ..??? nakunukuu sehemu ya post yako # 44 ... CV yangu haina Jinsia, Umri, marital status wala dini ...... mwisho wa nukuu. Ndo nikakupa mfano huo... ACHA UBISHI USIO NA MAANA
Mkuu, kuna watu wao ni ubishi....wanawekewa link za ushahidi wa kinachosemwa bado wanabisha tuuu.... JAMANI KAMA HUNA DATA USISEME CHOCHOTE MAANA UTAKUWA UNASAMBAZA UONGO TU
Habari binafsi za aina gani? Maana habari binafsi zipo za aina tofauti. Katika muktadha wa kikazi kwenye resume unaweka muhtasari wa sifa zako za kitaaluma na kitajiriba zinazokufanya ufae kuomba kazi unayoomba.
Siyo kuweka mambo ya ndoa, dini, wala kabila.
KUNA VITU VIKO OBVIOUS HATA KAMA HAWASEMI... HIVI UNADHANI MTUNZA HAZINA WA MSIKITI ATAKUWA MKRISTU..?? AU MTUNZA HAZINA WA PAROKIA AU KANISA ANAWEZA AKAWA MUISLAMU..???? au MKALIMANI WA KIINGEREZA KWENDA KISUKUMA SI ANATAKIWA ANAYEJUWA HICHO KISUKUMA...??? Acha bana.... hivi tunavyobishana hapa, Kuna watu wanaiandika biblia kwa kingoni... niambie atakayetakiwa hapo ni nani...Hivi hayo makampuni yakisema yanataka watuma maombi wa Kisukuma tu tena Wakristo, ni sawa?
Sawa, ila ategemee lolote baada ya mumewe asiye na cheti naye cha ndo kugundua hilo.... YAANI HUYO HANA TOFAUTI NA ASIYEKUTAMBULISHA KWA YEYOTE KAMA WEWE NI MUMEWE/MKEWETukirudi kwenye uzi, kama mwanamke kaandika hivyo kwenye CV yake huenda ikawa anaishi na mtu bila cheti cha ndoa, akiandika ameolewa watataka alete cheti cha ndoa. Ili kuepusha matatizo anaamua kuandika single.
KUNA VITU VIKO OBVIOUS HATA KAMA HAWASEMI... HIVI UNADHANI MTUNZA HAZINA WA MSIKITI ATAKUWA MKRISTU..?? AU MTUNZA HAZINA WA PAROKIA AU KANISA ANAWEZA AKAWA MUISLAMU..???? au MKALIMANI WA KIINGEREZA KWENDA KISUKUMA SI ANATAKIWA ANAYEJUWA HICHO KISUKUMA...??? Acha bana.... hivi tunavyobishana hapa, Kuna watu wanaiandika biblia kwa kingoni... niambie atakayetakiwa hapo ni nani...
Japo sikubaliani moja kwa moja na Nyani Ngabu, ila kuna baadhi ya maneno yake yana ukweli.
Mimi binafsi japo sio mwnamke lakini CV yangu haina Jyinsia, Umri, marital status wala dini na nimeshafanya kazi na bado nipo kazini.
Umuhimu wa hayo mambo utakuja kwenye mchakato wa kutaka kuajiriwa ndio watakwambia jaza form zao na makabrasha mengine ambayo yatahitaji hizo taarifa. Lakini sio kuweka kwenye CV.
Mbona hilo na mtunza hazina hujibu..??? Mr Nyani Ngabu umeshakonwa hapoAtatakiwa yule ambaye yuko fluent katika Kingoni bila kujalisha sana hayo mengine. Mambo ya kama kaoa au la hayahusiki kabisa hapo. Kinachohusika ni kujua Kingoni kwa ufasaha wa kutosha na kumridhisha mwajiri. Mambo ya ana watoto wangapi hayahusiki kabisa. Mambo ya kama yeye ni shoga au la hayahusiki.
Ni lazima kwa mujibu wa nani au nini? Waajiri huwa wanaweka huo ulazima kwenye matangazo yao ya hizo nafasi za kazi kwamba utumapo maombo ni lazima uweke hali yako ya kindoa? Au sheria za kazi ndo zinasema ni lazima uweke hilo?
Na dhumuni la kutangaza mwelekeo wako wa kijinsia ni lipi hasa?
That is crazy.
si bora hiyo wengine ni mwendo waHalafu nyie watu mmefundishwa wapi kuandika hizo resumes ambazo mnaweka marital au relationship status zenu?
That's just so unprofessional.
Kiranga come see this foolishness.
KUNA VITU VIKO OBVIOUS HATA KAMA HAWASEMI... HIVI UNADHANI MTUNZA HAZINA WA MSIKITI ATAKUWA MKRISTU..?? AU MTUNZA HAZINA WA PAROKIA AU KANISA ANAWEZA AKAWA MUISLAMU..???? au MKALIMANI WA KIINGEREZA KWENDA KISUKUMA SI ANATAKIWA ANAYEJUWA HICHO KISUKUMA...??? Acha bana.... hivi tunavyobishana hapa, Kuna watu wanaiandika biblia kwa kingoni... niambie atakayetakiwa hapo ni nani...
Mbona hilo na mtunza hazina hujibu..??? Mr Nyani Ngabu umeshakonwa hapo
KUNA VITU VIKO OBVIOUS HATA KAMA HAWASEMI... HIVI UNADHANI MTUNZA HAZINA WA MSIKITI ATAKUWA MKRISTU..?? AU MTUNZA HAZINA WA PAROKIA AU KANISA ANAWEZA AKAWA MUISLAMU..???? au MKALIMANI WA KIINGEREZA KWENDA KISUKUMA SI ANATAKIWA ANAYEJUWA HICHO KISUKUMA...??? Acha bana.... hivi tunavyobishana hapa, Kuna watu wanaiandika biblia kwa kingoni... niambie atakayetakiwa hapo ni nani...
Asilimia 90 ya CURRICULUM VITAE za wake za watu wanao omba kazi kwenye kampuni na mashirika mbalimbali , kwenye sehemu ya MARITAL STATUS zao wameandika wapo SINGLE.. Ukifundua mke wako ameandika yupo Single kwenye CV yake utachukuliaje hiyo?
Hizo takwimu unazoziongelea zipo wapi?
SABABU INAYOWEZA KUFANYA WATU WADANGANYE KUHUSU MARTIAL STATUS ZAO
1.Ukishaolewa maana yake utazaa,ukizaa utakuwa na uwezo wa kuwepo kazini kama mwali wa kawaida kwasababu utakuwa na majukumu mengi,mara martenity leave,mara mtoto anaumwa,so ili kuhakikisha wafanya kazi watakokuwepo kazini wakati mwingi wanapewa kipaumbele wale wasio majukumu mengi na pia isitoshe yule ambaye hajaolewa anaweza kuenda anytime anapohitajika sio kama aliye kwenye ndoa au mwenye watoto.
Kama mke wangu ameandika single kwenye CV yake nitamuuliza kwanini amefanya hivo ili nizisikie sababu zake!
Nakubaliana na wewe 100% hakuna umuhimu wala haja ya kuweka martial status kwenye CV kwasababu haihusiani kivyovyote na utendaji wako wa kazi!In real world, wanaozaa wengi wao wanazaa nje ya ndoa maana yake hawajaolewa na hawaishi na baba watoto zao nyumba moja. Tena ni bora aliyeolewa kwa sababu mume anaweza ku take care some other inconveniences.
Na asiye na watoto anaweza akawa mtegaji wa kazini kwa sababu hakuna kitu kinachomsukuma kwenda kazini, mwenye watoto lazima ajitume kulisha watoto.
Kuweka jinsia kwa mbali naweza kukubaliana nayo kwa sababu inategemea na aina ya kazi. Kama nataka kuanzisha bar/danguro then nitaweka masharti applicant anatakiwa awe msichana labda 18-24yrs old, au kama nataka kuajiri watu wa kushusha na kupandisha injini za magari manually hapo nitasema lazima applicant awe mwanaume wa miraba kadhaa.
Hiyo ni mifano tu unaweza ukapata mifano mizuri zaidi ya hiyo.
Kuweka marital status kwangu mimi bado ni upumbavu sioni ina faida ipi kwenye kazi. Ndio maana kwenye nchi za dunia ya kwanza kwenye kujaza form za kuajiriwa (sio kwenye CV/resume) kuna sehemu wanauliza labda " can you relocate?" hapo unaweza ukasema yes au no kulingana na situation yako.