Peoples Power, Nguvu ya Wananchi ni nguvu ya Umma. Wanajamvi yeyote mwenye CV za hawa wabunge wafuatao wapya wanaoingia mjengoni atuwekee hapa tuwajue walisomea nini, wapi, wameisaidaje jamii so far,etc. lengo tuwajue vizuri kabla hawajaanza makeke yao Bungeni.
1. Tundu Lissu
2. John Mnyika
3. Vincent Nyerere
4. Hezekiah Wenje
5. Proffessor Kahigi
6. Lema(Arusha Mjini)
7. Sugu Joseph Mbilinyi(Mbeya Mjini)
8. Samson Highness (Ilemela)
etc
1. Majasiri wa kukataa Rushwa , walihongwa 900,000,000 kila mmoja wakataa
2. Uwezo mkubwa wa kujengo hoja na kushawishi, hawakutoa hongo hata kidogo lakini kwa hoja wakashawishi wakashinda (eg Sugu)
3.Uvumilivu mkubwa, walisubiri matokeo kwa siku 3 hadi 4 bila kulala
4.Utaalamu wa kuzingatia sheria za Nchi, CCM wamejaribu kutafuta walipojikwaa wamekosa
na nyingine nyingi
John Mnyika aliniacha shule O-Level (1998) Maua Seminary alimaliza na aligonga A 9 na C ya English. A-Level alienda Tambaza ila sidhani kama lipata mafanikio kama mwanzo(maoni yangu tu) na nadhani aliirudia tena A-level an kupata matokeo mazuri hivyo kwenda kusoma chuoni na hatimaye CHADEMA.
Ya Bw. Lema sijui nani anaweza kuongea maana hapa Arusha inafahamika kwamba jamaa kamaliza form 4 na div mbovu kiasi na jakusoma A--level ila mwishoni amefanya certificate flani ya Computer (Sina uhakika hapa) ila wadau wengi wanasema ni magumashi. (Tumemchagua kwa sababu tumechoka na walokuwepo wenye elimu na pesa ila hakuna walichofanya, ona njia ya kuelekea mtaani kwetu ilivyo).
Mkuu Ngongo,Heshima kwako Kizomanizo.
Mkuu asante sana umejaribu kutoa majibu ambayo wengi wamekwepa kwa makusudi.Kuna kipindi unafika unawashangaa watu hapa Jamvini habari wanazotaka ni kusifia CHADEMA tu ukikosoa utapachikwa majina ya ajabu ajabu.Mleta mada kaomba CV za wabunge wa CHADEMA kama unajua unatuambia kama hujui unakaa kimya.
Mkuu wangu CV ya Godbless Lema ni ya hovyo kuliko nilivyofikiri mwanzo.Jamaa alishindwa kufaulu mtihani wa form II kuingia form III.Ana cheti cha lugha ya kiingereza miezi 3 KIMAHAMA mkabala na Golden Rose.Mkuu mambo mengine labda ajiendeleze baada ya kuwa mheshimiwa kazi hii namwachia kamanda PakaJimmy anaweza kumshauri.
Mkuu ni kweli Lema amechaguliwa kwasababu watu wameichoka CCM si kwa ubora wa kujenga hoja hata kidogo.
Mkuu Ngongo,
Inapofikia habari za G.Lema basi kwako ni burdaaani kubwa sana, maana kutwa kucha unajikaririsha habari zake!
Mkuu, elimu haina mwisho, umri unamruhusu, atasoma taratibu.Mbona akina Diallo na umri wao wamesoma uzeeni na kujiongezea maarifa, itashindikana kwa Lema ambae yuko kwenye mid-thirties?
prove beyond reasonable doubt about the allegation?
hii ndiyo inaharibu image ya chadema, uongo uongo badala ya kujenga hoja za msingi
1. Majasiri wa kukataa Rushwa , walihongwa 900,000,000 kila mmoja wakataa
2. Uwezo mkubwa wa kujengo hoja na kushawishi, hawakutoa hongo hata kidogo lakini kwa hoja wakashawishi wakashinda (eg Sugu)
3.Uvumilivu mkubwa, walisubiri matokeo kwa siku 3 hadi 4 bila kulala
4.Utaalamu wa kuzingatia sheria za Nchi, CCM wamejaribu kutafuta walipojikwaa wamekosa
na nyingine nyingi
Heshima kwako Kizomanizo.
Mkuu asante sana umejaribu kutoa majibu ambayo wengi wamekwepa kwa makusudi.Kuna kipindi unafika unawashangaa watu hapa Jamvini habari wanazotaka ni kusifia CHADEMA tu ukikosoa utapachikwa majina ya ajabu ajabu.Mleta mada kaomba CV za wabunge wa CHADEMA kama unajua unatuambia kama hujui unakaa kimya.
Mkuu wangu CV ya Godbless Lema ni ya hovyo kuliko nilivyofikiri mwanzo.Jamaa alishindwa kufaulu mtihani wa form II kuingia form III.Ana cheti cha lugha ya kiingereza miezi 3 KIMAHAMA mkabala na Golden Rose.Mkuu mambo mengine labda ajiendeleze baada ya kuwa mheshimiwa kazi hii namwachia kamanda PakaJimmy anaweza kumshauri.
Mkuu ni kweli Lema amechaguliwa kwasababu watu wameichoka CCM si kwa ubora wa kujenga hoja hata kidogo.
[/QUOTEE
Elimu haina uhusiano wowote na uongozi wa mtu, acha kujidai umekuwa na eurocentric views....mbona vijijini tuna wazee kibao ambao hata shule hawajaenda na bado wanaongoza vizuri sana kwa charisma walizopewa na mwenyezi Mungu??? mie simchagui mtu kwa kuangalia elimu yake au title aliyonayo. kwanza wengi wa wabunge wanajiita madokta ila kichwani zero na wapo wenye elimu ya kawaida lakini huwashindi kwa hoja. Acha kufuatilia CV coz haimaanishi kuwa na elimu ndio uwe kiongozi, mbona DK Batilda hakushinda kama elimu ingekuwa kigezo??? Title kuubwa lakini kashindwa na dogo Lema coz Dada Batilda alishindwa kujenga hoja kutushawishi wana A town tumkubali, Lema unayemuona wa OVYO ndio Mbunge wetu mpendwa na tuna imani naye...elimu yake hainihusu cha muhimu maendeleo. Nawakilisha A town.