Wabunge hawa wa CHADEMA wanatukera sana

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Wamekuwa kero kwelikweli kwetu. Wanaheshimiwa kuliko waheshimiwa wa chama na Serikali. Tunawajadili,hawajadiliki.Mipango dhidi yao tunaipanga,inapanguka. Kwakweli,ni kero hasa. Wanawaaminisha watanzania kuwa chama chao kinaweza kuwa na viongozi bora na wasemaji wazuri. Wanaanza kueleweka. Ni hawa:

Freeman Aikaeli Mbowe-Hai, Philemon Ndesamburo-Moshi Mjini,John John Mnyika-Ubungo, Vincent Nyerere-Musoma Mjini, Mchungaji Peter Msigwa-Iringa Mjini, Halima Mdee-Kawe, Godbless Jonathan Lema-Arusha Mjini, Joshua Nassari-Arumeru Mashariki, Tundu Lissu-Singida Mshariki, Ezekiel Wenje- Nyamagana, Joseph Mbilinyi-Mbeya Mjini, mwanangu Silinde wa Mbozi Magharibi na Joseph Selasini wa Rombo.

Amini nawaambia,Wabunge hawa ni kero kuu kwetu CCM na ni mtaji mkubwa wa CHADEMA kama sehemu ya UKAWA. Wana mizizi migumu majimboni mwao. Kuwang'oa yatubidi kuongeza nguvu. Ili wasimwage sumu yao Tanzania nzima.

Mapambano yanaendelea lakini!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Angalia wasije wakakung'oa meno na kucha bila ganzi! Au wakakukolimba! CCM ni shidaaa!
 
mkuu 2015 kuna kimbunga kitakuwa mjengoni nyie endeleeni kulala huku mkisema ccm numberi one
 
Poleni mzee Tupatupa. Kwa nini hamjishughulishi na mpasuko wa chama chenu mnabaki kuweweseka na wabunge wa Chadema? Na mbona mnamruhusu Nape anaendelea kuwapotosha wanachama kuwa chama kimefanya vizuri uchaguzi huu ilihali pamoja na kupita kwa viti vingi kwa mapingamizi magumashi na kutumia mbinu chafu bado wamedrop sana?
Huku sio kuua chama kwa kutoa habari za kuwafanya wabweteke hali wanaangamia?
 
wamekuwa kero kwelikweli kwetu. Wanaheshimiwa kuliko waheshimiwa wa chama na serikali. Tunawajadili,hawajadiliki.mipango dhidi yao tunaipanga,inapanguka. Kwakweli,ni kero hasa. Wanawaaminisha watanzania kuwa chama chao kinaweza kuwa na viongozi bora na wasemaji wazuri. Wanaanza kueleweka. Ni hawa:

Freeman aikaeli mbowe-hai, philemon ndesamburo-moshi mjini,john john mnyika-ubungo, vincent nyerere-musoma mjini, mchungaji peter msigwa-iringa mjini, halima mdee-kawe, godbless jonathan lema-arusha mjini, joshua nassari-arumeru mashariki, tundu lissu-singida mshariki, ezekiel wenje- nyamagana, joseph mbilinyi-mbeya mjini, mwanangu silinde wa mbozi magharibi na joseph selasini wa rombo.

Amini nawaambia,wabunge hawa ni kero kuu kwetu ccm na ni mtaji mkubwa wa chadema kama sehemu ya ukawa. Wana mizizi migumu majimboni mwao. Kuwang'oa yatubidi kuongeza nguvu. Ili wasimwage sumu yao tanzania nzima.

Mapambano yanaendelea lakini!

Mzee tupatupa wa lumumba, dar es salaam

naona unajipigia debe mwenyewe, kwanini usisubiri walioko pembeni waseme???
 
Umemsahau mbunge wa viti maalum Pauline Gekul anayakimbiza mibaba ya ccm mchakamchaka jimboni babati.
 
joseph selasini ni mwepesi sana, 2015 cdm lazma wambadilishe kama wanataka kuhifadhi jimbo
 
We msukule VUTA NIKUVUTE huu ujinga wako kamuhadithie boss wako Slaa hapo Ufipa
 
ifweero nilidhani ndo wewe ulikufa kwa presha ya matokeo maana kitambo sijakuona hapa jf.
_ila bora upo hai ushuhudie mauti wa ccm 2015
na hongera kwa kuja kuongeza nguvu hapa jf
 
Last edited by a moderator:
Wamekuwa kero kwelikweli kwetu. Wanaheshimiwa kuliko waheshimiwa wa chama na Serikali. Tunawajadili,hawajadiliki.Mipango dhidi yao tunaipanga,inapanguka. Kwakweli,ni kero hasa. Wanawaaminisha watanzania kuwa chama chao kinaweza kuwa na viongozi bora na wasemaji wazuri. Wanaanza kueleweka. Ni hawa:

Freeman Aikaeli Mbowe-Hai, Philemon Ndesamburo-Moshi Mjini,John John Mnyika-Ubungo, Vincent Nyerere-Musoma Mjini, Mchungaji Peter Msigwa-Iringa Mjini, Halima Mdee-Kawe, Godbless Jonathan Lema-Arusha Mjini, Joshua Nassari-Arumeru Mashariki, Tundu Lissu-Singida Mshariki, Ezekiel Wenje- Nyamagana, Joseph Mbilinyi-Mbeya Mjini, mwanangu Silinde wa Mbozi Magharibi na Joseph Selasini wa Rombo.

Amini nawaambia,Wabunge hawa ni kero kuu kwetu CCM na ni mtaji mkubwa wa CHADEMA kama sehemu ya UKAWA. Wana mizizi migumu majimboni mwao. Kuwang'oa yatubidi kuongeza nguvu. Ili wasimwage sumu yao Tanzania nzima.

Mapambano yanaendelea lakini!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Rafiki yangu Mzee Tupatupa,waambie wamekumbuka SHUKA ASUBUHI.Na wala usiwafiche,wape tu za USO kwa sasa,waambie bila hata akina Mbowe & Coy,tumewajua,tunawafahamu kwamba wachawi wetu ni VIONGOZI wa juu wa CCM.

Waanze kuukubali UKWELI,kwani waswahili wanasema ..."Mficha Maradhi kifo kitamuumbua"
 
Back
Top Bottom